Kwanini bado unatafuta ajira wakati tayari una biashara au umejiajiri ?

Kwanini bado unatafuta ajira wakati tayari una biashara au umejiajiri ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Kwanini unatafuta ajira wakati tayari unafanya biashara au umejiajiri?

Si mlisema ajira ni utumwa, na kujiajiri ndio uhuru? 🤔

Sasa wewe mhitimu umejiajiri, una biashara yako, boss ni wewe mwenyewe… lakini kila siku uko kwenye magroup ya ajira na JF kwenye jukwaa la ajira ukitafuta nafasi za kazi.

Au sasa umegundua utumwa wa mshahara una faida zake ? 🤣
 
Kujimwambafai tu unakuta mtu anaamua kuchangamsha jukwaa lakini kiuhalisia life limemchapa vibaya
 
Back
Top Bottom