Kwanini bado usipuuze Maombi?

Mkuu hapo nadhani unamaanisha kusali/kuswali!

Sala/Swala ni amri, Sala/Swala ni tamko. Ila hadi utie nia. UkiSali/Swali kawaida hutoboi. Ili usali/swali ni lazima uwe na andalio kiroho.

Kuna kipindi nilikuwa nalala pasipo kusali/swali, nilikuwa naota vitu vya ajabu ajabu. Mara vinakuja vitu kunikaba usiku. Nilipoanza kusali, wakati mwingine naamka usiku wa manane nasikia vitu vinakimbia ukutani vinaenda chooni. Toka nilipoanza kusali before sijalala ni usingizi mororo..
 
Ukijua namma ubongo unavyo fanya kazi wala hilo halikupi shida .
 
hakika usipuuze maombi kwa jina la YESU KRISTO WA NAZARETI
 
Kuna kitu tunakosea.
Maombi hayana nguvu bali Mungu anayejibu maombi ndiye mwenye nguvu.
That's why mwombaji yeyote asipokuwa karibu na mjibu maombi hakuna kitakachofanyika.
Ni wakati sasa tuache kutukuza maombi.
Mungu ndiye mwenye nguvu.
Maombi hayana nguvu
 
Sweden ni kati ya taifa lenye wetu walio fanikiwa mno na 80% hawaamini habari za Mungu.
Sweden ndio nchi inayoongoza duniani kwa vifo vinavyotokana na kansa na circulatory system duniani. Maendeleo maana yako ni nini
.
Hao hawajaendelea wanamuhitaji Mungu sema viburi tu.
 
Sweden ndio nchi inayoongoza duniani kwa kansa na ba circulatory system duniani. Maendeleo maana yako ni nini
.
Hao hawajaendelea wanamuhitaji Mungu sema viburi tu.
Kansa🀣🀣 inahusiano gani na kuomba?
 
Kansa🀣🀣 inahusiano gani na kuomba?
Kansa ni magonjwa. Huwezi kusema umeendelea kama ni mgonjwa. Huwezi kusema unaamani kama ni mgonjwa.
Kwa hiyo nao bado wanatakiwa kuomba ili Mungu awape akili ya kuendelea nyuzi 360. Kumkataa Mungu kwao ni kiburi tu nq kufungwa
 
hakika usipuuze maombi kwa jina la YESU KRISTO WA NAZARETI
Amina
Ingawa Yesu sasa hivi hayuko Nazareth Yuko mbinguni. Tukisema kwa jina la Yesu aliyehai mbinguni inakuwa na nguvu zaidi. Maana adui hataki Yesu asemwe kwa utukufu alionao sasa.
 
Kansa ni magonjwa. Huwezi kusema umeendelea kama ni mgonjwa. Huwezi kusema unaamani kama ni mgonjwa.
Kwa hiyo nao bado wanatakiwa kuomba ili Mungu awape akili ya kuendelea nyuzi 360. Kumkataa Mungu kwao ni kiburi tu nq kufungwa
Unafahamu nchi ya sweeden Norway dernmark ni kati ya nchi duniani watu wanaishi umri mrefu na ni nchi hawaamini habari za Mungu?
 
Amina
Ingawa Yesu sasa hivi hayuko Nazareth Yuko mbinguni. Tukisema kwa jina la Yesu aliyehai mbinguni inakuwa na nguvu zaidi. Maana adui hataki Yesu asemwe kwa utukufu alionao sasa.
UNabii ulimtaja kama mnazorayo kwa maana ya kuwa mzaliwa wa Nazareth. And this will never change chief mkuu, nguvu ya jina lake bado ipo pale pale
 
Jibu rahisi sana hata yule Kiboko ya wachawi, alisha fanya miujiza mingi tu, ila muda ukatoa majibu mazuri
Ahahahah.
Sasa mbona unajichanganya..
Huamin miujiza ahalaf unasema alifanya miujiza.
By the way yule na wewe hamko mbali mbali sana kwa habar ya kumjua Mungu.

Yule ni tapel ambaye watu kama wale ndio wamewavunja moyo watu kama ninyi na kufanya mumchukie Mungu.Kwasababu sio watu wa Mungu na wala Mungu hawatumii wale.. na wao wala sio wa kwanza.
 
Kansa ni magonjwa. Huwezi kusema umeendelea kama ni mgonjwa. Huwezi kusema unaamani kama ni mgonjwa.
Kwa hiyo nao bado wanatakiwa kuomba ili Mungu awape akili ya kuendelea nyuzi 360. Kumkataa Mungu kwao ni kiburi tu nq kufungwa
sasa ugonjwa unachagua mtu?Papa mwenyewe alipigwa na Korona πŸ˜‚, nani hapa duniani hajawai kuumwa maisha yake yote?
 
Nimekupa mfano kwasababu nimekuuliza wewe unajuaje hizo nguvu za huyo mtumishi alieponya kiziwi ni za Mungu au kitu kingine? jibu lako ndio likafanya nikupe huo mfano maana limekaa kisanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…