De Opera
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 780
- 1,664
Mkuu hapo nadhani unamaanisha kusali/kuswali!
Sala/Swala ni amri, Sala/Swala ni tamko. Ila hadi utie nia. UkiSali/Swali kawaida hutoboi. Ili usali/swali ni lazima uwe na andalio kiroho.
Kuna kipindi nilikuwa nalala pasipo kusali/swali, nilikuwa naota vitu vya ajabu ajabu. Mara vinakuja vitu kunikaba usiku. Nilipoanza kusali, wakati mwingine naamka usiku wa manane nasikia vitu vinakimbia ukutani vinaenda chooni. Toka nilipoanza kusali before sijalala ni usingizi mororo..