Kwanini bado usipuuze Maombi?

Kwanini bado usipuuze Maombi?

Unajua na sisi tunasoma hayo maandiko!!! wale wanafunzi wa Yesu walikuwa watakatifu lakini kwa taarifa yako wote waliuwawa kwa namna tofauti na utakatifu wao, mwanafunzi pekee aliekufa kifo cha kawaida ni mtume Yohana pale Uturuki, kwahiyo utakatifu wako HAUKUZUII kukutwa na mabaya , Swali langu hao watakatifu wa Lebanon maombi yao Mungu hawasikii ?
Na hawaku uawa as a suprise, Yesu aliwaambia hilo mbona ulipaswa kufahamu hili kama kwel wewe unasoma maandika.

"Nawatuma kama kondoo katikati ya Mbwa mwitu wakali".

Petro aliambiwa.
Yohana aliambiwa
Every body. Kaka neno la Mungu ni pumzi ya Mungu.
Hakibaahatishwi kitu mle.

Na kubwa zaidi unajua ni nini kwako? Utasimama mbele ya kitu cha hukumu cha Mungu siku moja, na utatoa hesabu ya maisha yako, je Uko tayari????

Pokee Yesu leo akugunulie mambo kwa namna ya tofauti.
 
1.KANISA
2.MSIKITI
3.HEKALU
Haya majengo yote watu wanakwenda kumuabudu Mungu LAKINI yote haya walinzi ni WATU
Hawakuanza leo, yoote haya yameanza kufanyika tika karne ya kwanza.
Kama kwel wewe ni mkristo, soma kitabu cha Nehemia, ziko sura chache tu 15. Uone jinsi ujenzi wa hekalu la Yerusalem namna lilivyojemgwa kwa mara ya pili.
Mkono mmoja silaha mkono wa pili wanajenga na bado Mungu yupo kat yao.

Hekima ya Mungu hutupa namna ya kufanya jambo.Hata haya mambo ya kawaida kabisaa sio kila kitu ni kiroho
 
Hapana ni binadamu baada ya kuona ndani kuna mali anatafuta mlango anafunga kisha anamlipa MTU PESA alinde mali za Mungu 😂😂😂
Agano la kale kulikua na watu wanaitwa ma BAWABU(kitabu cha wafalme na mambo ya nyakati, ezra, nehemia).
Je unajua hawa walikua ni watu gani na walikua na kazi gani??

Find your time to study learn na researc the bible. Utafahamu kuwa hakuna kioya umeongea hapa.

Na bado Mungu alikua kati kati yao.
 
Bado maombi yana nguvu. Puuza wanaopuuza maombi.

Maombi Yanaweza kugeuza maamuzi ya Serikali na viongozi wakubwa wa nchi. Mfalme wa Iran Koreshi, Altashasta na Dario walijikuta wanaendeshwa na maombi ya wakina Danieli, Nehemia, Ezra licha ya ukatili wao.

Maombi yalimtoa Petro Gerezani.

Maombi yalizuia mvua miaka 3, na kuileta kwa neno la Eliya.

Maombi yalimfanya mtu mmoja Ibrahim aishi kama jeshi, na hakuna aliyemuweza.

Maombi yalimfanya Yakobo apite katikati ya maadui zake bila kuguswa.

Maombi yanaangusha ngome

Maombi yana nguvu ya kupasua bahari.

Maombi maombi maombi

Usipuuze maombi.

Ni hayo tu

Mtumishi Matunduizi
Naweka kambi
 
Mambo ya Mungu ni kanuni.
Mungu ni Mungu wa utaratibu.
Ndio maana anapokuambia na kukuoa utaratibu wa kufuata, yeye si dhalimu wa kukuagiza kitu ambacho yeye haonyeshi mfano wa kutenda.
Ndio maana mbele za Mungj hakuna muovu ambaye atakua na la kujitetea whether this or that..!
 
Maandiko yanasema kila goti litapigwa na kukiri.
Group A watakili ukuu na uweza wa Mungu uliowakoa.
Group B watakiri kuwa Mungu ni mkuu na anauweza wote ila walifanya makusudi kuleta mizaha na kuchukulia poa mambo matakatifu na wanastahili chochote watakachofanyiwa.

Hii ndio sababu huwa sina wasiwasi na mtu anayepinga mambo ya uzima wake.
 
Ukiacha story za kwenye biblia ni tawala gani iliwahi kubadilishwa kwa maombi?
ni kigezo gani unafikir una wishi kukiona ili ujue kuwa tawala hii imelondolewa na Munngu na hii imeondolewa na wanadamu?

Mimi nitakupa mfano wa Arabs spring. Ile haikua mpango wala kazi ya mwanadamu.

Dont misunderstand me,, sijasema Ni Mungu alibadili zile tawala,wala sisemi hakua Mungu. bali nakuhakikishia zile ni exactly patterns ambazo zina comply kabisa na naamna Mungu aliwaondoa wafalme katika enzi za kale...
 
Hizi akili za kale mzee, watu wana plan + implementation =result kubwa sana na hawana muda na Mungu
Kuna siri huwez kuambiwa kwenye harakat za mtu kaka. Ndio maana wewe mwenyewe una plan na una implementation daily ila hutakuja toboa kama wao.
 
Agano la kale kulikua na watu wanaitwa ma BAWABU(kitabu cha wafalme na mambo ya nyakati, ezra, nehemia).
Je unajua hawa walikua ni watu gani na walikua na kazi gani??

Find your time to study learn na researc the bible. Utafahamu kuwa hakuna kioya umeongea hapa.

Na bado Mungu alikua kati kati yao.
Hata Agano la kale linathibitisha kuwa Bawabu ndio alikuwa kama mlinzi wa mlango, huyu Bawabu ni binadamu, kwahiyo tuko pale pale, binadamu ndio alikuwa analinda na kuangalia mali za Mungu hapo hekaluni/kanisani, hakuna cha maombi lazima binadamu asimamie mambo yake
 
Hawakuanza leo, yoote haya yameanza kufanyika tika karne ya kwanza.
Kama kwel wewe ni mkristo, soma kitabu cha Nehemia, ziko sura chache tu 15. Uone jinsi ujenzi wa hekalu la Yerusalem namna lilivyojemgwa kwa mara ya pili.
Mkono mmoja silaha mkono wa pili wanajenga na bado Mungu yupo kat yao.

Hekima ya Mungu hutupa namna ya kufanya jambo.Hata haya mambo ya kawaida kabisaa sio kila kitu ni kiroho
Wachina wamejenga kisiwa ndani ya bahari, watu wanakwenda mwezini na kurudi tunawaona, wewe unaleta story za hekalu, hizo zote ni harakati za binadamu na anaziendea kwa mikakati sio maombi
 
Kuna siri huwez kuambiwa kwenye harakat za mtu kaka. Ndio maana wewe mwenyewe una plan na una implementation daily ila hutakuja toboa kama wao.
Ndio zipo siri na siri ndio utajiri, hakuna ulazima iwe maombi inaweza kuwa anauza madawa ya kulevya, anaweza kuwa akili nyingi kichwani, anaweza kuwa kakopa benki mtaji n.k
 
Back
Top Bottom