Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Na hawaku uawa as a suprise, Yesu aliwaambia hilo mbona ulipaswa kufahamu hili kama kwel wewe unasoma maandika.Unajua na sisi tunasoma hayo maandiko!!! wale wanafunzi wa Yesu walikuwa watakatifu lakini kwa taarifa yako wote waliuwawa kwa namna tofauti na utakatifu wao, mwanafunzi pekee aliekufa kifo cha kawaida ni mtume Yohana pale Uturuki, kwahiyo utakatifu wako HAUKUZUII kukutwa na mabaya , Swali langu hao watakatifu wa Lebanon maombi yao Mungu hawasikii ?
"Nawatuma kama kondoo katikati ya Mbwa mwitu wakali".
Petro aliambiwa.
Yohana aliambiwa
Every body. Kaka neno la Mungu ni pumzi ya Mungu.
Hakibaahatishwi kitu mle.
Na kubwa zaidi unajua ni nini kwako? Utasimama mbele ya kitu cha hukumu cha Mungu siku moja, na utatoa hesabu ya maisha yako, je Uko tayari????
Pokee Yesu leo akugunulie mambo kwa namna ya tofauti.