matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #121
Nafahamu sana, japo maeneo qmbayo watu wanaishi muda mrefu zaidi tena wakiwa na afya njema ( Blue zone) hakuna hata moja ambalo liko Scandavia achilia mbali Sweden. Wanaweza kuishi maisha marefu ya magonjwa na mateso pia.Unafahamu nchi ya sweeden Norway dernmark ni kati ya nchi duniani watu wanaishi umri mrefu na ni nchi hawaamini habari za Mungu?
Ila sio kwamba hawaamini kabisq hadi 2021 62% walikuwa wanaamini Mungu Sweden. Ni suala la mmomonyoko tu ambao upo dunia kote.