Kwanini bado usipuuze Maombi?

Kwanini bado usipuuze Maombi?

Unafahamu nchi ya sweeden Norway dernmark ni kati ya nchi duniani watu wanaishi umri mrefu na ni nchi hawaamini habari za Mungu?
Nafahamu sana, japo maeneo qmbayo watu wanaishi muda mrefu zaidi tena wakiwa na afya njema ( Blue zone) hakuna hata moja ambalo liko Scandavia achilia mbali Sweden. Wanaweza kuishi maisha marefu ya magonjwa na mateso pia.

Ila sio kwamba hawaamini kabisq hadi 2021 62% walikuwa wanaamini Mungu Sweden. Ni suala la mmomonyoko tu ambao upo dunia kote.
 
Hakuna cha maombi wala nini kanuni za vitu zinafahamika.
 
Pia licha ya population kubwa ya Sweden kuwa hawaamini Mungu lakini kanuni za culture zao zinazowafanya waonekane kufanikiwa kama wengi wanavyodai ndio zilezile 4zinazosisitizwa kwenye maandiko kwa sehemu kubwa. Ukiacha kansa kama matokeo ya ulaji nguruwe uliopitiliza.😃
 
Maombi huenda na vitendo. Bila kuwa na ari ya kutaka kukamilisha jambo huwezi toboa.

Yani ni sawa na uwe na software bila kuwa na hardwares. Huwezi kufanikisha chochote.

Maombi + vitendo = Matokeo
Tatizo la wengi hawajui hata maana ya maombi. Wanadhani ni kama neno hilo lilivyo eti kwamba una mahitaji na unaomba ili upewe ulichoomba. Maombi ni somo complex ni mahusiano ya mtu na Mungu. Ni kumpa Mungu nafasi afanye kama Mungu. Kwa hiyo sharti la maombi ni Imani. Na Imani hii ni katika Kristo Yesu. Maombi kwa miungu mingine yanaweza kuleta majibu lakini yataleta majibu ya kiwango cha hiyo miungu. Lakini ukitaka majibu ya uhakika lazima umwamini Yesu Kristo.
 
Maombi Yanaweza kugeuza maamuzi ya Serikali na viongozi wakubwa wa nchi. Mfalme wa Iran Koreshi, Altashasta na Dario walijikuta wanaendeshwa na maombi ya wakina Danieli, Nehemia, Ezra licha ya ukatili wao.
Nakumbuka Ahasuero aligeuzwa mawazo na Nabii Esta.

Kwa Nabii Elia mambo yalikuwa tofauti Eliya alikuwa anapiga Injili ya Kijeshi anamuamrisha Mungu mbele za Watu na kama atashindwa kutekeleza basi Waisraeli wahame wakaabudu Ma Ba-al.
Elia aliamini Mungu wa kweli hawezi kushindwa na Shetani.

Na mimi nasema hawa Wakanyaga mafuta, mikate ya upako na Chumvi za utukufu ni matapeli tu. Mbona wameshindwa na Wasiojulikana?
 
Nabii Elisha alikuwa anauwezo wa kuona hadi vikao vya siri vya mfalme wa ashuru na kuvujisha taarifa. Ilifikia mfalme akawaua kabisa wasaidizi wake anajua ni masnitch hadi alipoambiwa yuko jamaa anaitwa Elisha hata kabla hujaanza kuweeka mikakati yeye ameshajua. Elisha alikuwa mwanamaombi anapewa siri z ndani kabisa za maadui wa Taifa lao na kumsahuri mflame. Wengi wa manabii wa sasa hata us ni machawa wa wanasiasa sio watumishi wa Mungu ndio maana msaada wao kwa taifa ni mdogo.

Manabii wwa zamani walikuwa na free access Ikulu na walisaidia sna nchi yao.
 
Maombi yana nguvu kubwa na yanaweza kuvunja,kuharibu na kuteketeza vitu vikubwa na vifungo(ushirikina)tulivyofungwa kwenye maisha yetu.
MTOA MADA ASIPUUZWE
 
Nabii Elisha alikuwa anauwezo wa kuona hadi vikao vya siri vya mfalme wa ashuru na kuvujisha taarifa. Ilifikia mfalme akawaua kabisa wasaidizi wake anajua ni masnitch hadi alipoambiwa yuko jamaa anaitwa Elisha hata kabla hujaanza kuweeka mikakati yeye ameshajua. Elisha alikuwa mwanamaombi anapewa siri z ndani kabisa za maadui wa Taifa lao na kumsahuri mflame. Wengi wa manabii wa sasa hata us ni machawa wa wanasiasa sio watumishi wa Mungu ndio maana msaada wao kwa taifa ni mdogo.

Manabii wwa zamani walikuwa na free access Ikulu na walisaidia sna nchi yao.
Vipi manabii akina TB Joshua walioona ushindi wa lowasa😅😅
 
Yule alikuwa anabet. Na anataarifa nyingi za kiintelijensia za kibinadamu. Alikuwa hapewi taarifa na malaika kama Elisha.

Mfano alitabiri kifo cha Rais wa Malawi kumbe daktari wa rais ni kondoo wake wa karibu na alikuwa na ubdate zote.🙂
 
Back
Top Bottom