Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
[emoji38][emoji38][emoji38] Nimekuelewa sana yaani !Nimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA.
Anasema huyu dada alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanamwona very smart hata katika maongezi. Anasema ni nadra sana kwa mtu ambaye haheshimiki kuonana na akina Obama na Biden namna hii.
Kuna watu tena Marais huenda kule na kukaa hadi mwezi hawajapata nafasi hata ya kukutana na Biden kwenye korido katika meetings zake.
Lamba limao au ndimu itakusaidia kuondokana na hiyo hali....Hebu futa takataka yako, unaelewa hata unachoandika? Hebu acheni mafumbo ya kipumbavu, Rais ni Taasisi kubwa, tuipe heshima.
Marais wa banana republics na stateless states hamna kitu.Hebu futa takataka yako, unaelewa hata unachoandika? Hebu acheni mafumbo ya kipumbavu, Rais ni Taasisi kubwa, tuipe heshima.
kusoma report tu zile figure zinamshindaaaa...anaanza mil 2 bilion 5 serious?? hamna mtu hapooIla huyu mama binafsi nikimsikiliza akiwa anaongea sielewi anaongea nini yupo smart ila hakua na Karama ya uzungumzaji.
Ufupi mara nyingi ni dalili za lishe duniSometimes kua mfupi Ni raha Sana.
Hapana sio kweli, ni genetics, lakini ni vizuri kuukubali na sio kuufichaficha kama Hayati Omari Bongo.Ufupi mara nyingi ni dalili za lishe duni