Kama wazungu walikuwa hawamuelewi Samia kwasababu ya kuwa makamu wa Rais wa Magufuli aliyeharibu uhusiano wetu wa kimataifa, huyu mama alikuwa kiungo mzuri sana.
Kwenye mazingira kama haya kuleta habari za "collective responsibility" ni ujinga mtupu, kwani hiyo "collective responsibility" ndio iliharibu mwanzo ikashindwa kumshauri vizuri yule aliyeharibu, then unamteua anayeaminika huko nje ili akatengeneze, ajabu baadae nae unamuondoa kwasababu ya kukumbatia mawazo ya wale waliofeli!.
Huyu mama alikuwa anatengeneza connection nzuri ya kurudisha imani ya wazungu kwa Samia na serikali yake, lakini kwa kuondolewa kwake, naona Samia ataendelea kupokewa na kina Mange kila akienda US.