Kwanini Balozi Mulamula alikuwa anaonekana smart sana na kuheshimika huko Ugenini?

Wiki ilopita Mh. Balozi alifukuzwa kazi tena akiwa nje ya nchi baada ya "Kuvimba kichwa" hadi akenda kewa yule Mzee wa White House na akapiga dina bila ruhusa na hata taarifa kwa boss wake.

Maswali sasa:
1) yuko wapi yuye Mh Balozi kwa sasa?
2) Mh Balozi aligoma/aliogopa kurudi Tz?
3) Mh Balozi alikwishakabidhi ofisi kwa Mh. Tax
4) Mh Balozi alipata wapi guts hadi akatinga Ikulu ya WH bila ruhusa ya boss?
 
Yupo Mtumba kule Dom anamkabidhi mheshimiwa TAX Ofisi
 
Huo ubunge aliopewa kwa kuteuliwa utatenguliwa?
Au ataendelea kuwepo kwenye payroll ya Tulia.
 
Wiki ilopita Mh. Balozi alifukuzwa kazi tena akiwa nje ya nchi baada ya "Kuvimba kichwa" hadi akenda kewa yule Mzee wa White House na akapiga dina bila ruhusa na hata taarifa kwa boss wake.

Maswali sasa:
1) yuko wapi yuye Mh Balozi kwa sasa?
2) Mh Balozi aligoma/aliogopa kurudi Tz?
3) Mh Balozi alikwishakabidhi ofisi kwa Mh. Tax
4) Mh Balozi alipata wapi guts hadi akatinga Ikulu ya WH bila ruhusa ya boss?
Dubai
 
Balozi Mulamula alikwenda White House kuongea na Biden? I didn't know that. Kuongea na Biden ni kosa? I didn't know that either. Kuongea na Biden bila ruhusa ya Ikulu ni kosa? I didn't know that either. Inawezekana ruhusa isiwepo bila katazo. Bila kuambiwa specifically kwamba hana ruhusa kuongea na Biden,is it a crime kuongea na Biden?
Hivi ndivyo watu wanavyodukuliwa moyo. Kama yule jamaa aliyekuwa anasema,:" Nitambamiza yule. Kwa nini ameenda kuongea na Barrick Gold?"
 
Nimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA.

Anasema huyu dada alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanamwona very smart hata katika maongezi. Anasema ni nadra sana kwa mtu ambaye haheshimiki kuonana na akina Obama na Biden namna hii.

Kuna watu tena Marais huenda kule na kukaa hadi mwezi hawajapata nafasi hata ya kukutana na Biden kwenye korido katika meetings zake.

Mama wa kizanzibari ana wivu wa kiswahili, balozi kakubalika nje kuliko yeye limemuua sana. Pili mama ana mradi wa kujaza wazanzibari kwenye balozi za nje kuchukua nafasi za watanganyika jambo ambalo mama wa kihaya hakuliafiki
 
Hatutaki wanasiasa walio karibu na mabeberu. Nchi hii ni nchi yenye sera ya Ujamaa na tunaongozwa na wana mapinduzi (revolutionaries).
Mjamaa mwenzako anakula makonzi huko Ukraine.
 
Wiki ilopita Mh. Balozi alifukuzwa kazi tena akiwa nje ya nchi baada ya "Kuvimba kichwa" hadi akenda kewa yule Mzee wa White House na akapiga dina bila ruhusa na hata taarifa kwa boss wake.

Maswali sasa:
1) yuko wapi yuye Mh Balozi kwa sasa?
2) Mh Balozi aligoma/aliogopa kurudi Tz?
3) Mh Balozi alikwishakabidhi ofisi kwa Mh. Tax
4) Mh Balozi alipata wapi guts hadi akatinga Ikulu ya WH bila ruhusa ya boss?
Kwa Nini Uzi wako umeunganishwa na ni mada tofauti?
 
Nimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA.

Anasema huyu dada alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanamwona very smart hata katika maongezi. Anasema ni nadra sana kwa mtu ambaye haheshimiki kuonana na akina Obama na Biden namna hii.

Kuna watu tena Marais huenda kule na kukaa hadi mwezi hawajapata nafasi hata ya kukutana na Biden kwenye korido katika meetings zake.

Sidhani kama aliyemteua alimteua ili akanywe chai na kupiga picha na marais,yeye aliyemteua anafahamu kazi na majukumu gani muhimu alimtuma kiyatekeleza na kipimo cha kwamba alifanikisha ama alianguka ktk utekelezaji wake boss wake ndiye anayefahamu sisi wengine tunaweza kuongelea tu ushabiki na mahaba ya huyo mgusika kuwepo ama kutokuwepo kwenye ofisi ya wizara

Boss wake anafahamu ikiwa anatosha kuwepo ama laa sisi wengine tubachosubiri ni huduma nzuri na za manufaa kwetu Nchi zenye kupatikana baada ya mhusika kuwa anatekeleza majukumu yake kwa ufanisi.
 
Back
Top Bottom