Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Hamnaa hoja hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata training kwenye diplomacy inapaswa kuangaliwa kwa upya...Watu wajifunze ku negotiate na ku influence huku wakijenga networks za kitaasisi siyo za individuals. Tusije tukazalisha mafios ambao kuwadhibiti itakuwa another independence struggle...Upo sahihi sana mkuu.
Nadhani pia kwa dunia ya sasa ya utandawazi kuna namna ambavyo nchi fulani fulani zina nguvu ya kuathiri nchi zingine na kujenga hiyo taswira ya white superiority. Kama nchi msipojenga ukuta wa fikra kuchuja kipi cha kupokea, kipi cha kupotezea na ni kipi chenu cha kulinda na kutunza kama tunu ya dhahabu aisee mnaweza jikuta mmebaki na linchi dampo tu. Wizara ya elimu na utamaduni ndiyo kazi zake hasa kuhakikisha nchi pamoja na influences zote hizo lakini inalinda nafsi na identity ya nchi. Na ni wajibu wetu pia kuwakataa watu wetu wote wenye kuendekeza ukibaraka. Mimi hata sijui nini kimemponza mama Mulamula ila sijawahi kuvutiwa na viongozi wanaowaza kujiweka close na Washington au Beijing. Kiongozi wa nchi lazima awe visionary and independent minded. Mtu utaishije kwa maono ya watu wengine kama siyo utumwa tu huo?
Au labda huyu maza alikuwa ni cia agent!!??Kwa taarifa yako
Hizo Picha na Obama huyo Mama Mula Mula na familia yake wamepiga kitambo, Hawakupiga Picha kwa sababu ya cheo chake cha uwaziri hatujui amekosea wapi Akatumbuliwa Mh Raisi anafahamu zaidi
Ni Mama muungwana sana hasie na majivuno
Alikua ni balozi wa Tanzania na uhusiano wake ulikua ni mzuri na viongozi wa Marekani
Alikuja Marekani kuonana na wabongo kuhusu uraia pacha akawa anachekacheka ovyo tu.Ila huyu mama binafsi nikimsikiliza akiwa anaongea sielewi anaongea nini yupo smart ila hakua na Karama ya uzungumzaji.
Aisee! Siku Max akipoteza ufungua wa I'd zetu tutafungwa bila kesi mahakamani.Kuna Paka jike linaheshimika huko nyumbani wakati ni fisadi🐒🐒🐒
View attachment 2376695
Labda itakua akiongea Kimalkia anakua seriousAlikuja Marekani kuonana na wabongo kuhusu uraia pacha akawa anachekacheka ovyo tu.
Ila alijichanganya na wabongo .
Kuna siku nilikuwa Cipriani Wall St, nilishangaa Wamarekani walio katika bank8ng nilivyowaambia mimi Mtanzania wakasema wanamkubali sana Dr. Mahiga na balozi Mulamula.
Nilishangaa kwa sababu sikutegemea wawajue.
wewe kaa jikoni sisi tulio getini tunaona mbali kuliko waliokibarazaniKwa hiyo sisi watoa mada na wachangiaji ndo tunayajua mengi sana kuhusu uongozi husika,haya jamani sisi tupo seblen na wengine wapo kibarazani,waliopo jikoni ndo wanajua ya kuwa unga umezidi maji au maji yamezidi unga,chumvi hamna au ipo,na vipi kuhusu viungo vyengine,tutulie tu hapa tulipo tuendelee kuangalia drama na maisha mengine kwa ujumla ya watu kuuana kisa mapenzi,kisha tuletewe chakula hapo hapo tulipokaa tule tuondoke.
Na maanisha ya jikoni tuwaachie wapishi.
Banana alishtakiwa kosa ganiMarais wa banana republics na stateless states hamna kitu.
Kwa nchi kama Tanzania ilivyo na kwa utawala huu wala Marekani haiihitaji kupandikiza special CIA agents. Ukiwaangalia baraza la mawaziri wote, na kwa nguvu ya fedha na influence waliyo nayo hizo foreign powers, hakuna waziri hata mmoja pale ambaye asingependa kujipendekeza kwa mataifa makubwa. Mkulu mwenyewe wa sasa simwoni hata kama ana ajenda binafsi ya kiuongozi ya kinchi ambayo angependa kuitunzia siri.Au labda huyu maza alikuwa ni cia agent!!??
manake wamarekani wakupende hivi hivi tu kwa uzuri gani!!??
Tena hii pic ndio imenifanya nitafakuri kwa kina
HahahahaLabda wana faili lake.
Ngoja mjidanganye tu hivyo. Ktk dunia hii huwezi ukajitenga na wengine kisha ukategemea kufanikiwa huko ni kujidanganya tu.Upo sahihi sana mkuu.
Nadhani pia kwa dunia ya sasa ya utandawazi kuna namna ambavyo nchi fulani fulani zina nguvu ya kuathiri nchi zingine na kujenga hiyo taswira ya white superiority. Kama nchi msipojenga ukuta wa fikra kuchuja kipi cha kupokea, kipi cha kupotezea na ni kipi chenu cha kulinda na kutunza kama tunu ya dhahabu aisee mnaweza jikuta mmebaki na linchi dampo tu. Wizara ya elimu na utamaduni ndiyo kazi zake hasa kuhakikisha nchi pamoja na influences zote hizo lakini inalinda nafsi na identity ya nchi. Na ni wajibu wetu pia kuwakataa watu wetu wote wenye kuendekeza ukibaraka. Mimi hata sijui nini kimemponza mama Mulamula ila sijawahi kuvutiwa na viongozi wanaowaza kujiweka close na Washington au Beijing. Kiongozi wa nchi lazima awe visionary and independent minded. Mtu utaishije kwa maono ya watu wengine kama siyo utumwa tu huo?
Tatizo lenu ni kuangalia mambo juu juu tu. Mnaitizama nchi kwa kile mnachokiangalia kwenye TV na kwenye kusoma kwenye magazeti halafu mnaishia hapo tu, na kutengeneza conclusion.Ngoja mjidanganye tu hivyo. Ktk dunia hii huwezi ukajitenga na wengine kisha ukategemea kufanikiwa huko ni kujidanganya tu.
Nyerere alijaribu kuwa na fikra kama hizo matokeo yake nchi ikabaki kutembeza bakuli hadi leo. Nakumbuka kwenye mwaka 1978 uchumi wetu ulikuwa unazidi ule wa Kenya na hata pesa yetu ilikuwa juu kidogo ya ile ya Kenya lakini kilichofuata, sote ni mashahidi.
Haiwezekani nchi kama Japan iliyopigwa kwa bomu la Atomiki na Marekani na kuwafanya wananchi wake wapate madhara ya kudumu wawe na uswahiba mkubwa na Marekani uswahiba ambao matunda yake kila mtu anashuhudia leo halafu eti sisi kapuku tuseme eti hatutaki kujnasibisha na mtu! Ni ujinga tu na fikra finyu.
Afrika Kusini wakati wa sera mbovu ya ubaguzi wa rangi walishikamana sana na nchi za magharibi na uchumi wao uliwahi kuwa moja ya iliyokuwa 10 bora duniani lakini leo baada ya na wenyewe kuwa na fikra kama zako Afrika Kusini imekuwa nchi ya hovyo tu kama hizi za kwetu.
Angalia maisha ya wananchi wa Iran wakati wa Shah na hali zao za maisha leo chini ya Ayatollah.
Nyerere alijaribu kuwa na fikra kama hizo matokeo yake nchi ikabaki kutembeza bakuli hadi leo. Nakumbuka kwenye mwaka 1978 uchumi wetu ulikuwa unazidi ule wa Kenya na hata pesa yetu ilikuwa juu kidogo ya ile ya Kenya lakini kilichofuata, sote ni mashahidi.
Ngoja nikwambie kitu, no any country that can succeed in isolation. After the second world war the European economy had totally collapsed and they only needed the famous "Marshall Plan" to return their battered economies back on track.Tatizo lenu ni kuangalia mambo juu juu tu. Mnaitizama nchi kwa kile mnachokiangalia kwenye TV na kwenye kusoma kwenye magazeti halafu mnaishia hapo tu, na kutengeneza conclusion.
Kwanza kila nchi uliyohitaja hapo ina historia yake lakini yenye misingi inayofanana na kile ninachokiadvocate katika hoja yangu. Mfano, maendeleo ya Japan huwezi kusema eti ni kwa sababu ya kuwa na alliance na Marekani. Wajapan ni ancient civilization, kwa asili ni hardworkers, na wana strong sense of pride and nationalism. Hiyo nationalism na pride ndiyo iliyopelekea hata wakapigana vita na Marekani WWII. Nchi zote zilizopigana WWII ziliongozwa na mitizamo fulani ikiwemo kulinda falsafa na maslahi mapana, au "civilization" ya nchi husika kwa namna walivyoitafsri wao. WaJapan walipopigwa mabomu ya nuclear waliamua kusurrender vita na kuhamishia nguvu yao kwenye kujijenga kiuchumi zaidi ndani kuliko kuwekeza kwenye foreign policy.
Ulipoitaja Afrika Kusini kama model kwamba usipoji-align na nchi za Magharibi nchi zinafeli nikazidi kupata uhakika kuwa tuna tatizo tena tatizo sugu kweli kweli miongoni mwa sisi watu weusi. Hivi kipi bora kwako, uchumi bila dignity au dignity bila uchumi? Hata leo hii Afrika Kusini Western Cape (ambako wazungu ni wengi) kuna maendeleo sana kuliko majimbo kama Limpopo ambako kuna weusi wengi. Hapo ishu ya msingi kushughulikia sio kulazimisha alliance na wamagharibi/wazungu. Hapo ishu ni watu weusi kujipanga, kujiongoza vyema na kujiletea maendeleo. Ukienda chuo kikuu cha wazungu kama Stellenbosch au Capetown unakuta rector wa chuo (huku kwetu tunawaita Vice Chancelors) anajiendeshea gari lake binafsi (hakunaga Shangingi la rector) lakini ukiingia labs zao ziko well equiped. Ukienda chuo kikuu cha Limpopo kwa weusi unakuta rector ana lishangingi la kutisha lakini labs zao zimechoka. Watalingana maendeleo Western Cape na Limpopo? Mtasafiri kwenda Ulaya na Marekani kujifunza, mtasign memorandum of alliances na wazungu wa dunia yote, lakini msipofanya vitu basic kama kujitambua, kujisacrifice na kuwa na long term interests za vizazi vyenu mtabaki watumwa milele.
Mwisho ni kuhusu Iran. Iran chini ya Shah haikuwa paradiso. Vinginevyo Ayatollah Khomein asingepata support ya waIran kumfukuzia Shah. Pia, maisha magumu waliyo nayo Iran leo hii ni kwa sababu ya vikwazo vya Marekani. Iran anatengeneza hadi ndege zake, satellites zake, pamoja na vikwazo vyote walivyo navyo. Iran wametengeneza drones za kivita wanazomuuzia mrusi pamoja na vikwazo vyote hivyo. Bila vikwazo Iran ni first world civilization. Kuna wakati ndege zao zinahitaji vipuri lakini hawawezi kuvipata kutokana na vikwazo vya Marekani. Iran wametengeneza hadi Covid vaccine zao. Haya Saudi Arabia yenye alliance na Mmarekani wana nini cha kujivunia zaidi ya pesa za mafuta? Msipende sana kuangalia mambo juu juu na kuamini kila kinachorushwa na CNN.
(Na labda niongezee, mimi sipo antiwestern au anti-american. Kila wanachofanya wamarekani ni kwa ajili yao na watoto wao so good to them and I have no grudges against them. Ila ninachomind ni sisi ngozi nyeusi kuamini kwamba kujitembeza na kujigonga kwa wamagharibi automatically means kwamba mambo yetu yatakuwa super)
Mimi siadvocate self-isolation ninaadvocate self-determination. Self isolation ni kama ilivyo North Korea. Self determination ni kama zilivyo nchi zote ulizozitaja -- China, Japan, South Korea, etc. Germany na Japan ziondoe humo hiyo ni nchi ipo class moja na US before and after WWII. Iran chini ya Ayatollah wana self-determination, na bila vikwazo vya Marekani wangekuwa mbali sana. Nchi ambayo ina self determination inajua wapi pa kushirikiana na wapi pa kuweka mipaka. Na si kweli kwamba China imefika hapo ilipo kwa kujiexpose kwa foreigners kama US.Ngoja nikwambie kitu, no any country that can succeed in isolation. After the second world war the European economy had totally collapsed and they only needed the famous "Marshall Plan" to return their battered economies back on track.
The economic input that the US put on the 17 European Countries that led to the recovery of the economies of those countries made them to maintain landmark ties with the US politically, economically and socially.
Needless to say, the countries like China, Japan, South Korea, Germany etc couldn't have attained the level of economic prosperity they currently enjoy without massive foreign investment mainly from USA and if they could pursue the self isolating policy like one you're advocating, they could not have achieved the economic milestone of today.
I believe, in most uncertain terms, that had Iran not have a chilly relationship with the US, the country's level of development would have surely been at par with that of South Korea or even surpassed.
Jaribu kuangalia uwekezaji wa Marekani nchini China kuanzia mwaka 1980 hadi 2015 tu ndio uje uongee. Hayo mataifa yasingefika hapo yalipo bila uwekezaji mkubwa toka Marekani, sasa nashangaa eti wewe unapinga wakati wenyewe wanakiri hilo.Mimi siadvocate self-isolation ninaadvocate self-determination. Self isolation ni kama ilivyo North Korea. Self determination ni kama zilivyo nchi zote ulizozitaja -- China, Japan, South Korea, etc. Germany na Japan ziondoe humo hiyo ni nchi ipo class moja na US before and after WWII. Iran chini ya Ayatollah wana self-determination, na bila vikwazo vya Marekani wangekuwa mbali sana. Nchi ambayo ina self determination inajua wapi pa kushirikiana na wapi pa kuweka mipaka. Na si kweli kwamba China imefika hapo ilipo kwa kujiexpose kwa foreigners kama US.
Duh yaani Hata wewe mtu wa coding walikusahau, basi walikuwa fake hao.Nilishangaa kwa sababu