Tunaongea vitu viwili tofauti. Kwani ni nani aliyezuia wawekezaji kuja Tanzania? Kujitembezatembeza duniani ndiyo kuvutia wawekezaji? Wekeni mazingira bora ya uwekezaji katika nchi yenu (umeme wa uhakika, skilled personnel, barabara bora, n.k) wawekezaji watakuja tu. Mulamula kupiga picha na Biden na Obama ndiyo amevutia wawekezaji hapo?Jaribu kuangalia uwekezaji wa Marekani nchini China kuanzia mwaka 1980 hadi 2015 tu ndio uje uongee. Hayo mataifa yasingefika hapo yalipo bila uwekezaji mkubwa toka Marekani, sasa nashangaa eti wewe unapinga wakati wenyewe wanakiri hilo.
Mimi undercover brother, "The Spook Who Sat by the Door" style.Duh yaani Hata wewe mtu wa coding walikusahau, basi walikuwa fake hao.
In short tuna ushamba wa maendeleoUtashangaa sana kusikia wewe hukuwa smart simply because unaji associate na hao unawa perceive kuwa smart...Any smart person can still be smart even with his people na bado akaleta chanhe kubwa kubwa tu bila hizo associations za kitapeli wa dunia...Kina Abraham Lincoln na Franklin Roosevelt Wa huko walikuwa wana associate na akina nani hadi walipofanikiwa kuzifanya nchi zao kuwa powerful? Sana sana walijiepusha na kila aina ya European influence chini ya Kingdomship ya U.K na Roman Empire mpaka kutengeneza kitu ambacho hakikuwepo duniani, yaani Democratic governance....Sasa kama kuwa smart kunamaana ya uchawa basi hapo na log off.....
Africans mind zina ukoko na kutu hasa ya kutawaliwa...Hazina confidence wala haziwezi kuamini katika wao wenyewe...Nadhani tukihangaika na hili tatizo itakuwa njema zaidi...Nasikitika kuzaliwa nchi inayoamini ya kuwa kiwa smart ni kuwa chawa wa watu weupe...A parasitic kind of association ..
Kama wazungu walikuwa hawamuelewi Samia kwasababu ya kuwa makamu wa Rais wa Magufuli aliyeharibu uhusiano wetu wa kimataifa, huyu mama alikuwa kiungo mzuri sana.
Kwenye mazingira kama haya kuleta habari za "collective responsibility" ni ujinga mtupu, hiyo "collective responsibility" ndio iliharibu mwanzo ikashindwa kumshauri vizuri yule aliyeharibu, then unamteua anayeaminika huko nje ili akatengeneze, ajabu baadae nae unamuondoa kwasababu ya kukumbatia mawazo ya wale waliofeli!.
Huyu mama alikuwa anatengeneza connection nzuri ya kurudisha imani ya wazungu kwa Samia na serikali yake, lakini kwa kuondolewa kwake, naona Samia ataendelea kupokewa na kina Mange kila akienda US.
Ila huyu mama binafsi nikimsikiliza akiwa anaongea sielewi anaongea nini yupo smart ila hakua na Karama ya uzungumzaji.
Don't under estimates Dr. SLTB!.kuondolewa kwake, naona Samia ataendelea kupokewa na kina Mange kila akienda US.
Kutakuwa kuna jambo zito hapo, usichukulie kimzahamzaha.
Inawezekana hilo ndilo limemkaba shingoni huyo mama na kupoteza kazi
Sisi wa Africa bado tunao vibaraka wa Wazungu mpaka leo.Kama wazungu walikuwa hawamuelewi Samia kwasababu ya kuwa makamu wa Rais wa Magufuli aliyeharibu uhusiano wetu wa kimataifa, huyu mama alikuwa kiungo mzuri sana.
Kwenye mazingira kama haya kuleta habari za "collective responsibility" ni ujinga mtupu, hiyo "collective responsibility" ndio iliharibu mwanzo ikashindwa kumshauri vizuri yule aliyeharibu, then unamteua anayeaminika huko nje ili akatengeneze, ajabu baadae nae unamuondoa kwasababu ya kukumbatia mawazo ya wale waliofeli!.
Huyu mama alikuwa anatengeneza connection nzuri ya kurudisha imani ya wazungu kwa Samia na serikali yake, lakini kwa kuondolewa kwake, naona Samia ataendelea kupokewa na kina Mange kila akienda US.
Wapi nimesema kuwa alipiga kwasababu ya uwaziri wake. Na wapi nimesema kuwa zimepigwa hivi karibuni?Kwa taarifa yako
Hizo Picha na Obama huyo Mama Mula Mula na familia yake wamepiga kitambo, Hawakupiga Picha kwa sababu ya cheo chake cha uwaziri hatujui amekosea wapi Akatumbuliwa Mh Raisi anafahamu zaidi
Ni Mama muungwana sana hasie na majivuno
Alikua ni balozi wa Tanzania na uhusiano wake ulikua ni mzuri na viongozi wa Marekani
Mkuu upo Sawa ?Hebu futa takataka yako, unaelewa hata unachoandika? Hebu acheni mafumbo ya kipumbavu, Rais ni Taasisi kubwa, tuipe heshima.
Yes niko sawa.Mkuu upo Sawa ?
Kiongozi mkuu wa nchi huwa anahamasisha ufisadi?Au unamaanisha kiongozi mkuu wa nchi yako na mkeo?Aisee! Siku Max akipoteza ufungua wa I'd zetu tutafungwa bila kesi mahakamani.
Matusi gani haya unashindwa kuheshimu kiongozi mkuu wa nchi
Tz ina ujamaa? Ww ni wa ajabu Sana!Hatutaki wanasiasa walio karibu na mabeberu. Nchi hii ni nchi yenye sera ya Ujamaa na tunaongozwa na wana mapinduzi (revolutionaries).
Umeandika kitu muhimu sana sana. Watanzania wanatazama lakini hawaoni. Wanakwenda kila mahali duniani lakini hawarudi na funzo lo lote. Wanatazama lakini hawaoni. Hongera sana!!Ngoja nikwambie kitu, no any country that can succeed in isolation. After the second world war the European economy had totally collapsed and they only needed the famous "Marshall Plan" to return their battered economies back on track.
The economic input that the US put on the 17 European Countries that led to the recovery of the economies of those countries made them to maintain landmark ties with the US politically, economically and socially.
Needless to say, the countries like China, Japan, South Korea, Germany etc couldn't have attained the level of economic prosperity they currently enjoy without massive foreign investment mainly from USA and if they could pursue the self isolating policy like one you're advocating, they could not have achieved the economic milestone of today.
I believe, in most uncertain terms, that had Iran not have a chilly relationship with the US, the country's level of development would have surely been at par with that of South Korea or even surpassed.