Midas Touch
Senior Member
- Jan 23, 2008
- 188
- 200
Kama hii ndo sababu ya kunuweka pembeni basi hamna RaisMh Balozi alipata wapi guts hadi akatinga Ikulu ya WH bila ruhusa ya boss?
DubaiWiki ilopita Mh. Balozi alifukuzwa kazi tena akiwa nje ya nchi baada ya "Kuvimba kichwa" hadi akenda kewa yule Mzee wa White House na akapiga dina bila ruhusa na hata taarifa kwa boss wake.
Maswali sasa:
1) yuko wapi yuye Mh Balozi kwa sasa?
2) Mh Balozi aligoma/aliogopa kurudi Tz?
3) Mh Balozi alikwishakabidhi ofisi kwa Mh. Tax
4) Mh Balozi alipata wapi guts hadi akatinga Ikulu ya WH bila ruhusa ya boss?
Mama wa kizanzibari ana wivu wa kiswahili, balozi kakubalika nje kuliko yeye limemuua sana. Pili mama ana mradi wa kujaza wazanzibari kwenye balozi za nje kuchukua nafasi za watanganyika jambo ambalo mama wa kihaya hakuliafikiNimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA.
Anasema huyu dada alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanamwona very smart hata katika maongezi. Anasema ni nadra sana kwa mtu ambaye haheshimiki kuonana na akina Obama na Biden namna hii.
Kuna watu tena Marais huenda kule na kukaa hadi mwezi hawajapata nafasi hata ya kukutana na Biden kwenye korido katika meetings zake.
Hebu tupe picha yako hata na diwani wa kata ya Kisemvule Mkuu.kusoma report tu zile figure zinamshindaaaa...anaanza mil 2 bilion 5 serious?? hamna mtu hapoo
Mjamaa mwenzako anakula makonzi huko Ukraine.Hatutaki wanasiasa walio karibu na mabeberu. Nchi hii ni nchi yenye sera ya Ujamaa na tunaongozwa na wana mapinduzi (revolutionaries).
Kwa Nini Uzi wako umeunganishwa na ni mada tofauti?Wiki ilopita Mh. Balozi alifukuzwa kazi tena akiwa nje ya nchi baada ya "Kuvimba kichwa" hadi akenda kewa yule Mzee wa White House na akapiga dina bila ruhusa na hata taarifa kwa boss wake.
Maswali sasa:
1) yuko wapi yuye Mh Balozi kwa sasa?
2) Mh Balozi aligoma/aliogopa kurudi Tz?
3) Mh Balozi alikwishakabidhi ofisi kwa Mh. Tax
4) Mh Balozi alipata wapi guts hadi akatinga Ikulu ya WH bila ruhusa ya boss?
Sidhani kama aliyemteua alimteua ili akanywe chai na kupiga picha na marais,yeye aliyemteua anafahamu kazi na majukumu gani muhimu alimtuma kiyatekeleza na kipimo cha kwamba alifanikisha ama alianguka ktk utekelezaji wake boss wake ndiye anayefahamu sisi wengine tunaweza kuongelea tu ushabiki na mahaba ya huyo mgusika kuwepo ama kutokuwepo kwenye ofisi ya wizaraNimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA.