Eagle Wa njano
Member
- Apr 7, 2018
- 10
- 14
Uongozi mmbovu kama wa CCM.Habari gani ndugu wananchi?
Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar.
Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho kabisa, michezo ndo usiseme, Afya na Miundombinu ni shida tupu.
Shida nini Africa mbona kila siku huwa tunajinadi kuwa Africa tumejaliwa kila kitu na Mungu kwann sisi ndo tunaonekana Ovyo kabisa kwenye kila nyanja ukifananisha na mabala mengine?
Ngozi nyeusi tumebarikiwa nguvu za kimwili kuliko race nyingine, ila tumenyimwa akili kuliko race nyingine.
Why uchukue Cha mtu ukidhani ndiyo chema na kuanza kulaumu motherland yako? Kila mmoja ataishi awwzavyo na usitamani mafanikio ya wengine, any way ngoja nikutie moyo, inawezekana iwapo... -Habari gani ndugu wananchi?
Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar.
Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho kabisa, michezo ndo usiseme, Afya na Miundombinu ni shida tupu.
Shida nini Africa mbona kila siku huwa tunajinadi kuwa Africa tumejaliwa kila kitu na Mungu kwann sisi ndo tunaonekana Ovyo kabisa kwenye kila nyanja ukifananisha na mabala mengine?
Rwanda wetushinda nini?Kibaya zaidi hadi uchawi sisi ni mazuzu
Majungu sisi ni watoto tu hata Rwanda wametushinda.
Umalaya wenyewe sisi ni cha mtoto.
All in all sisi ni mazuzu zaidi
Au vile tulikuwa na Rais kama Jowe aliyeokota embe chini ya mnazi na kuvuruga nchi mpaka Mungu akaamua kumuuaTatizo viongozi kukosa maarifa.wewe unaona tu rais kama samia tutafika kweli?
Ngono ni kwa mataifa yote na viumbe hai vyote kwa namna yake.Ngono ngono ngono...mawazo yote mmelekeza huko...hakuna mgunduzi (whites) aliyepata kuwa serious na ngono..anzia Kwa Newton mpaka akina da Vinci...hawajawai hata siku Moja kudili na madem