Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina NAPE WAPO WACHACHE ILA WAKIONGEZEKA TUTAKUWA LEVEL NA ULAYA FASTA TU😝Habari gani ndugu wananchi?
Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar.
Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho kabisa, michezo ndo usiseme, Afya na Miundombinu ni shida tupu.
Shida nini Africa mbona kila siku huwa tunajinadi kuwa Africa tumejaliwa kila kitu na Mungu kwann sisi ndo tunaonekana Ovyo kabisa kwenye kila nyanja ukifananisha na mabala mengine?
Tukubaliane tu kuwa tumejirahisisha sana. Yaani tumechagua kuwasindikiza wenzetu maishani.Sijajua wewe unaona nini mkuu ila kwa mazingira yetu sioni kwamba kuna kingebadilika kwa hata hilo kombe lingefanyika Tanzania.