UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Ndio kwanza tunasifiana kujenga madarasa.Afrika tatizo kubwa ni elimu, watu hawana elimu, elimu haipewi thamani na nidhamu ipo chini pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kwanza tunasifiana kujenga madarasa.Afrika tatizo kubwa ni elimu, watu hawana elimu, elimu haipewi thamani na nidhamu ipo chini pia.
Nothing..tupo tupo tu.Haya huko kwenye ngono tumegundua nini? Hata hizo style za kufanya ngono tunawaiga wazungu, wenzetu wanapiga hela kwa filamu za ngono sasa sisi hiyo ngono tumegundua nini?
Tumewazidi upumbavu, wizi, tabia mbaya, uzembe na ubadhirifuRwanda kakuzidi nini
Uongozi mbovu,siasa mbaya,ukabila ukabila,udini udini na umaskini wa kuzaliwa nao.Habari gani ndugu wananchi?
Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar.
Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho kabisa, michezo ndo usiseme, Afya na Miundombinu ni shida tupu.
Shida nini Africa mbona kila siku huwa tunajinadi kuwa Africa tumejaliwa kila kitu na Mungu kwann sisi ndo tunaonekana Ovyo kabisa kwenye kila nyanja ukifananisha na mabala mengine?
Mwarabu bila mzungu kuweka teknolojia ya kutafuta na kuchimba mafuta hana hela.Wale Waarabu si wote...
Na hawajachukua Kila kitu kama sisi.
Wana dini yao, wana lugha zao, wana Mila zao, wana mafuta yao.
Sisi tuna nini?
Mimi huwa nasema ukipata chance hizi nchi zetu ni kuondoka tu..kama huwezi basi ondoa kizazi chako.Mkuu, ukijigundua kwamba una mapungufu Gani tayari umejiby hiyo swali lako.......
He wewe kama mwafrika unajionaje, kwa maana bara LA afrika ni watu siyo kingine..
Mwafrika ni mbinafsi kuliko kiumbe chochote....
Mwafrika ni mzembe kuliko kiumbe chochote.
Mwafrika ni mfitina kuliko kiumbe chochote....,
Malizia mengine uliyo nayo wewe pia
Je tulizo nazo... tunazithamini na kuzifundisha kwa uwazi au zinatumika kama sehemu ya hofu na distractions??Hakuna aliyechukua kila kitu hata sisi tuna lugha zetu,tuna mila zetu na tuna zaidi ya mafuta mkuu kushinda hao waarabu wenye mafuta tu.
Ndiyo maana nimesema hawajachukua kila kitu.Mwarabu bila mzungu kuweka teknolojia ya kutafuta na kuchimba mafuta hana hela.
#MaendeleoHayanaChama
Habari gani ndugu wananchi?
Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar.
Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho kabisa, michezo ndo usiseme, Afya na Miundombinu ni shida tupu.
Shida nini Africa mbona kila siku huwa tunajinadi kuwa Africa tumejaliwa kila kitu na Mungu kwann sisi ndo tunaonekana Ovyo kabisa kwenye kila nyanja ukifananisha na mabala mengine?
Tatizo la Afrika kimantiki si la viongozi... Tatizo la Afrika ni la waAfrika wenyewe waliokubali kuwa brainwashed na wakoloni.Kwa sababu ya kutawaliwa na viongozi wa kiafrika. Afrika ilitakiwa itawaliwe na wazungu ndio ingepata maendeleo.
Worldcup kuna nini? Au unakusudia waarabu kutumia kiarabu chao?Je tulizo nazo... tunazithamini na kuzifundisha kwa uwazi au zinatumika kama sehemu ya hofu na distractions??
Tuanze na Lugha tu ya kujifunzia na kufundishia. Ina switch Kila kitu na kutu-program upya kuwaza na kutenda kitumwa tumwa...
Tumekuwa zaidi ya wasindikizaji... Jaribu kufuatilia world cup utaweza kukubaliana na Mimi!
Ok, ni kweli tatizo ni mwafrika mwenyewe...Je wewe kama mwafrika unayetambia hiyo umeifanyia Nini nafasi Yako ya uafrika,Tatizo la Afrika kimantiki si la viongozi... Tatizo la Afrika ni la waAfrika wenyewe waliokubali kuwa brainwashed na wakoloni.
Kinachotokea sasa hawajui nini wanataka na wapi wanataka in the next so years.
Ndg ridhika tu,umeona jana Rais wa chama cha mpira Camerun ni Samwel Ettoo mchezaji aliyeupiga mwingi mbele anaheshima zake.Hapa kwetu rais wa chama cha soka sijuwi hata kama aliwahi kuwa mchezaji hata wa timu ya Taifa!.Habari gani ndugu wananchi?
Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar.
Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho kabisa, michezo ndo usiseme, Afya na Miundombinu ni shida tupu.
Shida nini Africa mbona kila siku huwa tunajinadi kuwa Africa tumejaliwa kila kitu na Mungu kwann sisi ndo tunaonekana Ovyo kabisa kwenye kila nyanja ukifananisha na mabala mengine?
Yaani umeanza vizuri alafu ukarudi mle mle yalipo matatizo yetu.Ok, ni kweli tatizo ni mwafrika mwenyewe...Je wewe kama mwafrika unayetambia hiyo umeifanyia Nini nafasi Yako ya uafrika,
Tunapolaaumu uongozi..... Wetu vilevile tuangalie hasili ya huyu mwafrika Toka kwa Babu zetu.....
Sisi ni WABINAFSI /SELFINESS sana....
Tusinge wabinafsi hata Wazungu wasingetutawala kizembe ivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona na Wazee wa Chaputa hapa Bongo hawagundui hata sindano?Ngono ngono ngono...mawazo yote mmelekeza huko...hakuna mgunduzi (whites) aliyepata kuwa serious na ngono..anzia Kwa Newton mpaka akina da Vinci...hawajawai hata siku Moja kudili na madem
Kama unataka kujilinganisha na wao lazima uwe nyuma. But kama uta set your own standard utaendana na standard zako na utakua ahead ya kila kitu...Habari gani ndugu wananchi?
Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar.
Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho kabisa, michezo ndo usiseme, Afya na Miundombinu ni shida tupu.
Shida nini Africa mbona kila siku huwa tunajinadi kuwa Africa tumejaliwa kila kitu na Mungu kwann sisi ndo tunaonekana Ovyo kabisa kwenye kila nyanja ukifananisha na mabala mengine?
Kubwa Africa Haina viongozi wazuri,watu weledi hashikishwi katika kutoa weledi wao kwa maendeleo ya nchi zao mbona wako ulaya na wanatoa michango mikubwa huko!, Africa Ina viongozi wengi mafisadi,walarushwa,wanaopendelea,,si wazalendo,wazandiki,Africa Ina watumishi wenye vyeti makaratasi ambao hawana uwezo wa kutafsiri ,mambo mengi Africa ni Siri Siri hata jambo dogo la kawaida utakuta linafanywa na watawala kwa Siri.itoshe kusema si kizazi au vizazi viwili vinavyofuata wataona maendeleo Africa hii,badosana.uwezo wetu wa kufikiri na kitatua changamoto uko chini sana.
Africa tunaongoza kwa rasilimali, Kama madini, misitu wanyama wa kila Aina ardhi kubwa yenye rutuba ya kutosha. Maziwa mito na bahari. Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanahitaji uongozi bora utakaoweza kutumia rasilimali hizi kwa manufaa ya bara la Africa.Habari gani ndugu wananchi?