christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Africa bado hatujajitawala kifikra na hii inafanya tusijiamini. Ikiwa kiongozi au mwanasiasa wa Africa anaongoza Africa lakini mawazo yake yapo Ulaya hapo mkuu unategemea nini.
Ukija kwenye soka Africa tunacheza ni kama hatujui tunachokitaka wachezaji wanacheza utadhani wako wanatoa birudani na siyo mashindano, hatuko agressive na mipango kama ya wenzetu wazungu. Juzi niliboreka sana na jinsi Cameroon walivyocheza yaan wamefungwa goli lakin wanavyocheza ni kama wao ndio wanaongoza yaani hawakuonesha purukushani yeyote ya kurudisha goal.