Kwanini bara la Afrika lipo nyuma kwa kila kitu kuliko mabara mengine?

dini zimetufunga mno, kila changamoto tunasemaga tumuachie Mungu kisha tunavuta shuka uku tukisubiri Mungu atende miujiza
 
Akina NAPE WAPO WACHACHE ILA WAKIONGEZEKA TUTAKUWA LEVEL NA ULAYA FASTA TU😝
 
Sijajua wewe unaona nini mkuu ila kwa mazingira yetu sioni kwamba kuna kingebadilika kwa hata hilo kombe lingefanyika Tanzania.
Tukubaliane tu kuwa tumejirahisisha sana. Yaani tumechagua kuwasindikiza wenzetu maishani.
Na kwa janja zao wanafanikisha nia zao kupitia kwetu!!
 
Mkuu unaongelea Afrika hii hii ambayo mwaka huu watalaam wetu watalaza mabomba ya maji mwaka mmoja baadaye mabomba hayo yatakatwa wakati ujenzi wa barabara unaendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…