Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,748
Majira ya asubuhi na jioni ukiwa sana sana hii barabara ya Morogoro road, unaona kabisa kuna watu wanakereka na hili lifoleni huku barabara ya mwendokasi ikiwa tupu kabisa.
Wengi wamekuwa wakiibia ibia kupita kwenye mwendokasi, lakini ni wale wenye guts zao.
Nikakaa nikafikiria, ni kwanini UDART wasifanye namna kuruhusu watu kulipia pesa ili kupata access ya kupita kwenye hizi barabara zao?
Kuna watu jamani pesa kwao sio tatizo, anaweza akatenga hata Tzs 150,000 kila mwezi ili awe ana access ile barabara ya mwendokasi, na ku kwepa haya mafoleni yenye stress.
Nna uhakika kabisa endapo UDART waki structure hii product vizuri wanaweza wakapata faida nzuri sana bila ku distruct huduma yao kuu.
Assume wamepata wateja kama 1,000 (nna uhakika watakuwepo hata zaidi) ukaweka rate ya Tzs 150,000 kwa mwezi, ina maana hapo ni kama income ya Tzs 150 Million kwa mwezi na Tzs 1.8 Billion kwa mwaka.
Tena hii ni clean money kabisa, ambayo inaweza kutosha kulipa mishahara kwa staff wao na kupunguza makali ya gharama za uendeshaji.
This is possible to me... Mnisamehe pia, sometime i have crazy and disruptive ideas..😆😆
Kwenu UDART.. fursa hiyo