Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,748
- Thread starter
- #21
HujanielewaHiyo barabara ni kwajili ya mwendokasi tu, Acha gari yako safiri na mwendo kasi
.
HujanielewaHiyo barabara ni kwajili ya mwendokasi tu, Acha gari yako safiri na mwendo kasi
.
uko sahii watu wengi wa dar ukiwambia nini tofauti kati ya DART na UDART wanabaki kutoa macho tu hawajui chochote kile barabara na miundombinu mingne kama majengo ya BRT sio mali ya Udart ni mali ya serikali(DART)UDART wanamiliki mabasi tu, barabara ni Mali ya serikali kupitia DART
Ninyi liberals ndio mmeifokonyoa nchi yetu mpaka imedumaa kimandeleo kwa sababu ya mfumo wenu duni wa ruksaruksa tu, kuachiliaachilia tu, kuruhusuruhusu tu, kukubalikubali tu, kurudhiaridhia tu. Halafu ninyi mnahongeka kirahisi sanaaa tu. Mnaweza kuhongwa hata na nursery kid! Ntamtafuta wakili mzuri, watu kama ninyi tuwahamishie hukoo London ama Washington.Mkuu.. nadhani uwanja wetu wa kufikiri upo tofauti sana.. nakuona kama Conservative zaidi of which sio dhambi.
So tunaweza bishana milele, maana mimi sio conservative kama wewe.. I am libertarian and believe in disruptive ideas