Kwanini barabara za mwendokasi zisitumike pia kama barabara za kulipia? UDART hamuoni hii fursa??

Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,253
Reaction score
15,748
Majira ya asubuhi na jioni ukiwa sana sana hii barabara ya Morogoro road, unaona kabisa kuna watu wanakereka na hili lifoleni huku barabara ya mwendokasi ikiwa tupu kabisa.

Wengi wamekuwa wakiibia ibia kupita kwenye mwendokasi, lakini ni wale wenye guts zao.

Nikakaa nikafikiria, ni kwanini UDART wasifanye namna kuruhusu watu kulipia pesa ili kupata access ya kupita kwenye hizi barabara zao?

Kuna watu jamani pesa kwao sio tatizo, anaweza akatenga hata Tzs 150,000 kila mwezi ili awe ana access ile barabara ya mwendokasi, na ku kwepa haya mafoleni yenye stress.

Nna uhakika kabisa endapo UDART waki structure hii product vizuri wanaweza wakapata faida nzuri sana bila ku distruct huduma yao kuu.

Assume wamepata wateja kama 1,000 (nna uhakika watakuwepo hata zaidi) ukaweka rate ya Tzs 150,000 kwa mwezi, ina maana hapo ni kama income ya Tzs 150 Million kwa mwezi na Tzs 1.8 Billion kwa mwaka.

Tena hii ni clean money kabisa, ambayo inaweza kutosha kulipa mishahara kwa staff wao na kupunguza makali ya gharama za uendeshaji.

This is possible to me... Mnisamehe pia, sometime i have crazy and disruptive ideas..πŸ˜†πŸ˜†

Kwenu UDART.. fursa hiyo
 
Nakuhakikishia pasi chembe ya mashaka kwamba hii ikiruhusiwa, navyowajua Watanzania wenzangu, na wala siwasemi vibaya, watazikurupukia wooooooteeee, even daladala za Mbagala & Loliondo zitabadili routes zake, and mwisho wa siku barabara za kawaida ndizo zitageuka kuwa za mwendokasi kwa kukosa msongamano!!!
 
Ni Modality tu ya namna gani watafanikisha hii kitu.. ni kuweka controls tu. Tena itakuwa simple sana

Nikupe changamoto ndogo.. kama traffic wana mtambo wa ku track namba ya gari na kujua kwamba linadaiwa ama halidaiwi, unadhani watashindwa vip ku implement kitu kama hichi.. Itakuwa simple sana.
 
Halafu kukijaa foleni maana ya Mwendokasi kwisha au ?

Average IQ!
 
Wazo lako ni zuri sana likisomwa kwenye NADHARIA TU BASI
 
Or simply waboreshe mwendokasi
 
Wazo lako ni zuri sana likisomwa kwenye NADHARIA TU BASI
Linatekelezeka mkuu.. ingawa sio mbaya kuliangalia kama nadharia.

Mbona Daraja la kigamboni imewezekana kupita kwa kulipia?

Hakuna kisichowezekana mkuu..
 
Halafu kukijaa foleni maana ya Mwendokasi kwisha au ?

Average IQ!
Itakuwa treated kama luxury good.. which means hata bei ambayo wataiweka haiwezi kuwa na high demand maana itakuwa ni kubwa which means hakuwezi kuwa na foleni ambayo unaiwazia wewe.
 
Linatekelezeka mkuu.. ingawa sio mbaya kuliangalia kama nadharia.

Mbona Daraja la kigamboni imewezekana kupita kwa kulipia?

Hakuna kisichowezekana mkuu..
Hivi una habari kwamba hata kwa idadi ya sasa ya magari ya mwendokasi, bado kuna traffic-jam!???
 
hatari sana
 
Even now as we speak, mwendokasis are too great idadically kiasi kwamba they block one another until they scarcely move as we would wish for the Standard Mwendokasi.
Hiyo foleni ya mwendokasi sio kwa kiasi hicho.. mimi mwenyewe ni mdau wa mwendokasi.. sikumbuki kama nlishakaa kwenye foleni ya magari ya mwendokasi.. labda kama kwenye zile cross over za magari..
 
Wazo zuri, mi nashauri Labda hiyo barabara itumike kwa magari yote ya abiria, na yale ya binafsi-yaani daladala ndo walipie ushuru fulani
 
Even now as we speak, mwendokasis are too great idadically kiasi kwamba they block one another until they scarcely move as we would wish for the Standard Mwendokasi.
Its a possible ideas.. nlidhani kama mtaiongezea nyama.. lakini mnatafuta avenue za kuipinga from the scratch.. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† this animal spirit is of another level
 
Wazo zuri, mi nashauri Labda hiyo barabara itumike kwa magari yote ya abiria, na yale ya binafsi-yaani daladala ndo walipie ushuru fulani
Ukiwaleta daladala ndo utaharibu.. mimi naifikiria kama product ambayo ni for the rich ambao hawataki stress za foleni.. ndo mana hata price yake iwe kubwa ili iwe na wateja wachache ambayo pia haita disturb huduma kuu ya mwendokasi
 
Itakuwa treated kama luxury good.. which means hata bei ambayo wataiweka haiwezi kuwa na high demand maana itakuwa ni kubwa which means hakuwezi kuwa na foleni ambayo unaiwazia wewe.

Unaelewa maana ya Mwendokasi lakini ? Unauelewa huo mfumo lkn lengo lake ? Kwa nini usiwaambie tanroads wafunge upande mmoja ya barabara wafanye kulipia ? Mwendokasi iachwe Mwendo kasi kwa ajili ya Mabasi ya raia, basi !
 
Mkuu.. nadhani uwanja wetu wa kufikiri upo tofauti sana.. nakuona kama Conservative zaidi of which sio dhambi.

So tunaweza bishana milele, maana mimi sio conservative kama wewe.. I am libertarian and believe in disruptive ideas
 
Hiyo barabara ni kwajili ya mwendokasi tu, Acha gari yako safiri na mwendo kasi
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…