uko sahii watu wengi wa dar ukiwambia nini tofauti kati ya DART na UDART wanabaki kutoa macho tu hawajui chochote kile barabara na miundombinu mingne kama majengo ya BRT sio mali ya Udart ni mali ya serikali(DART)
UDA-RT = usafiri dar es salaam rapid transit ni kampuni ya mabasi
DART= Dar es salaam rapid Transit agency, wakala wa serikali wa mabasi yaendayo haraka
Ninyi liberals ndio mmeifokonyoa nchi yetu mpaka imedumaa kimandeleo kwa sababu ya mfumo wenu duni wa ruksaruksa tu, kuachiliaachilia tu, kuruhusuruhusu tu, kukubalikubali tu, kurudhiaridhia tu. Halafu ninyi mnahongeka kirahisi sanaaa tu. Mnaweza kuhongwa hata na nursery kid! Ntamtafuta wakili mzuri, watu kama ninyi tuwahamishie hukoo London ama Washington.