Kwanini BBC hawaonyeshi live genocide case Afrika Kusini dhidi ya israel?

CNN inajiendesha kibiashara bado. Marekani imegawanyika sana, hakuna kitu kinachokubalika na Wamarekani wote. Hata bendera ya nchi tu raia wengine wanataka kuichoma.

So, hayo ya CNN kama huipendi usiangalie, the forces of the market will speak. Mbona Al Gore alianzisha network yake ya TV na redio ikashindwa kupata watu akaifunga?

Kwenye hoja ya nini kifanyike, chukua jukumu mwenyewe kuanzisha kitu.

Si lazima uanzishe chombo cha habari, au uwe mwanahabari, unaweza hata kuanzisha pressure group ya grassroots level itakayodai mambo fulani kwenye habari tu. Hususan kwenye vyombo vya nchi yako au vinavyolipiwa kwa kodi yako.

Kabla ya Millard Ayo, uanahabari wa aina ya Millard Ayo ulikuwa haupo na wala haukuonekana kama unawezekana. Millard Ayo kajilipua, kaanzisha kitu, kafanikiwa kiasi chake.

Muandishi wa habari wa Kingereza aliyehamia Marekani, Christopher Hitchens, aliona kuwa kila habari ya vita anayoifuatilia haiandikwi vizuri vile anavyotaka yeye.

Akatumia falsafa ya Kiingereza "If you want something done well, do it yourself". Christopher Hitchens akajitumbukiza katika uandishi wa habari za vita. Akaja kuwa muandishi maarufu anayeheshimiwa sana mpaka anafariki.

Je, sisi tunaangalia mapungufu kama fursa ya kuanzisha kitu kipya? Au tunawalalamikia wengine wafanye tu, sisi tuwe watumiaji tu?

Sisi Waafrika wengi tatizo letu ni kutaka mtu mwingine afanye kazi, sisi tufurahie matunda tu.

Kuanzia mtu binafsi mpaka serikali zetu collectively.

Ndiyo maana maendeleo magumu. Kila mtu anamtegea mwenzake majukumu, na wananchi wanaitegea serikali, na serikali inawategea wananchi. Matokeo yake majanga, halafu tunamtafuta mchawi wetu ni nani? Tunawalaumu CNN na BBC hawaripoti habari tunavyotaka sisi, bila aibu.

Ukishawahi kumsikia Muingereza anailalamikia TBC hairipoti habari za umuhimu kwa watu wa Northumberland anavyotaka yeye?

Tunataka CNN aripoti hivi, tunataka BBC aripoti hivi, hatujui hata gharama za kuripoti hivyo ni zipi, hatujui hata prioroties za demographics za vyonbo hivyo no zipi.

Mtu anataka BBC ikatishe programs zake ioneshe kesi ya Afrika Kusini na Israel live, hata hajui kipaumbele cha BBC, hajui gharama, hajui kwamba BBC wanafanya hourly updates za hiyo habari. Yeye anatakankuwalazimisha tu waripoti live, kwa masaa anayoyataka yeye.

Hata huyo mlipa kodi wa Uingereza mwenyewe anaye i fund BBC hana privilege hiyo.

Africa tutengeneze siasa zetu, tutengeneze chumi zetu, haya mambo yatakuja kukaa vizuri tu. Kwa sasa hivi, sababu za kiuchumi na kisiasa tu zitazuia Africa kuwa na vyombo imara vya habari. Hata ukiwa na hela useme unataka kuanzisha CNN ya Afrika, siasa za Afrika hazitakuruhusu. Atatokea mwanasiasa atataka umfanye yeye awe habari siku zote hata kama anachofanya hakina umuhimu wala mvuto wa kuwa habari. Wenzetu wana autonomy kwa kiasi kikubwa katika habari.

So, you have to fix the politics first, then fix the economies, from there, demand ikiwepo, industry itatoa tu supply ya news networks kubwa.

News ni biashara, huwezi kuwa na vyombo vya habari vyenye nguvu katika nchi ambazo hazina siasa na chumi madhubuti.
umejimix sana kiranga, hoja sio kama huna kabisa hapana hoja ipo ila uwasilishaji wako mimi naona sio sahihi kwa hoja niliyoitoa. Maana sio kwamba coverage haikupatikana maana hata sky news wamebroadcast.

Point kubwa wanalalamikiwa na wengi sio mimi tu
 
Nimejimix wapi? Kivipi?

Nakwambia cha mtu mavi, anzisha chako, ukiendeshe unavyotaka wewe.

Mtegemea cha ndugu hufa masikini.

Nilipojimix wapi?

Hoja kusemwa na wengi hakuifanyi kuwa sahihi. Kufikiri wingi ndio usahihi ni logical fallacy, inaitwa "appeal to populism".
 
kiranga wewe una mainstream media?
 
Nimejimix wapi? Kivipi?

Nakwambia cha mtu mavi, anzisha chako, ukiendeshe unavyotaka wewe.

Mtegemea cha ndugu hufa masikini.

Nilipojimix wapi?

Hoja kusemwa na wengi hakuifanyi kuwa sahihi. Kufikiri wingi ndio usahihi ni logical fallacy, inaitwa "appeal to populism".
Nionavyo mimi ni kwamba vyombo vikubwa vya habari vya nchi za magharibi vinajitahidi kuilinda taswira ya Israel mbele ya jamii zao ili isipoteze kuungwa mkono . Reporters wao wapo imbeded na jeshi la Israel kwenye vita kule Gaza,taarifa lazima zipewe green light na Israel ndipo zirushwe hewani.

Naifutilia sana BBC na CNN,wakati wa vita ya Russia/Ukraine jamaa walikua kwenye battlefield,wanahoji wahanga,kuonyesha majeruhi na uharibifu mkubwa. Wakielezea ukatili wa Russia vitani,hii ilikua kampeni ya ku-boost support kwa Ukraine kwa raia wao ili misaada ya silaha na pesa isiwe na vikwazo.

Leo mauaji ya kutisha ambayo Israel imefanya ndani ya muda wa miezi mitatu ni makubwa kuliko ya vita vya Russia/Ukraine vya miaka miwili . CNN, BBC na wengineo vichwa vya habari na habari zao kamili ni kuhusu Israel victimhood, Israel can do no wrong in their eyes.

Kesi ya leo hawajarusha live kwa sababu ingeathiri taswira ya Israel mbele ya raia wao,ule ni mtaji ambao Israel haitakiwi kuupoteza .
 
ANakaza akili tu huyo
 
Naweza kusema kuwapangia BBC warushe nini live na wasirushe nini live si sawa.

Kwamba hata wakitoa hourly updates wamefanya coverage pia.

Lakini hata nisiposema hivyo.

Fine.

BBC wako biased tuseme.

Anzisheni vyenu basi mrushe mnavyotaka.

Kwa nini mnataka BBC wafanye mnavyotaka nyie Watanzania wakati this is the British Broadcasting Corporation, not the Tanzanian Broadcasting Corporation?

Mbona hamuwaambii Tanzania Broadcasting Corporation wafanye hiyo live coverage mnayotaka, mnawaambia BBC waifanye?
 
Kila la kheri mkuu
Umeanzisha hoja ambayo hata ku define terms huwezi?

Au unafikiri watu wanapaswa kukubaliana tu "mainstream media" ni nini bila hata ya definition?

Au unarusharusha tu hayo maneno "mainstream media" bila hata wewe mwenyewe kujiuliza na kuelewa unamaanisha nini unavyosema "mainstream media"?
 
Kubishana na wewe sitaweza mkuu, nimetupa taulo jeupe mkuu
 
Back
Top Bottom