Kwanini BBC hawaonyeshi live genocide case Afrika Kusini dhidi ya israel?

Ishu ya BBC, CNN na media houses kubwa nyingine za huko magharibi kutokurusha live kesi dhidi ya Israel hailalamikiwi na wabongo tu . Kwenye mtandao wa X raia wa USA,EU, middle east na Africa wamekua na mjadala kwasababu wameshangazwa na stance za hizi taasisi leo . Kama ni global news ambayo ni negative kuhusu Israel basi wao wataiweka kabatini.
 
Mashahidi unawaongelea ni huyo mtoto wa kupachikwa aiseee. Mara hii nina degree ya law duh punguza kupanic mkuu
Mashahidi wapo kwani ushahidi unatoka kwa nani? Sheria ngumu au ulifeli Bar exam pale Law School?
 
Nimeeleza hapo juu kwamba hata raia wa hizi nchi hawana absolute na final say kwenye programming za haya mashirika kusema tukio gani lifanyiwe live coverage na lipi lisifanyiwe.

Zaidi ya yote, BBC ina kipindi kinaitwa "Over to You". Wewe msikilizaji unapewa nafasi kutoa malalamiko yako au pongezi kuhusiana na coverage ya BBC. Angalau wenzetu wana utamaduni huo. Ukitoa malalamiko yako, unaweza kupewa sababu au kuwafanya BBC wajirekebishe.

Fuatilia "Over to You" ya wiki hii na inayofuata, ninafikiri hili suala litaibuka na tutapata sababu, maelezo, ufafanuzi au hata kuipa BBC feedback tu ijiongeze.


Kwa hivyo, pelekeni malalamiko kwenye kipindi cha "Over to You". BBC ina mfumo wa kupata feedback tayari.

TBC yetu wana kipindi kama hicho?

Mbona BBC wamefanya coverage ya hii case? Mbona wanatoa hourly updates? Mnataka kuwapangia habari gani iwe live na gani isiwe live?

Mbona mnalalamika kama vile BBC imeipotezea kabisa hii habari na haijaipa coverage yoyote vile?

BBC mnazijua channels zake zote? Mmezifuatilia zote?

Mnataka waondoe vipindi vyao vingine walivyopanga kufanya live coverage ya vipindi mnavyotaka nyie?

BBC ndiyo shirika pekee la habari duniani?

Washabiki wa timu fulani ya mpira wakisema BBC ipangue vipindi vyake vyote ioneshe mpira wa timu yao live, utaona sawa pia?


View: https://youtu.be/JPKxnDla1ts?si=CSaoHt8KhYJrl2OO
 
Mashahidi unawaongelea ni huyo mtoto wa kupachikwa aiseee. Mara hii nina degree ya law duh punguza kupanic mkuu
Sio mtoto wa kupachika wapo mashahidi 25 wengine alifanya nao kazi kwa muda wote wameamua kumuanika unataka kusemaje? Fuatilia vizuri jamaa ukiondoa ubakaji pia alikua na kesi nyingine kubwa ya mauaji ya watu wengi ambao walifia kwenye eneo lake ambayo alikua anaizima kwa kutumia Pesa wanasema mashadi waliokua wanakataa Pesa hizo wakitaka achukuliwe hatua za kisheria
 
Umeshupalia mashahidi mashahidi ila ushahidi wenyewe hauna mashiko,kingine hata mwamposa aliua ila yupo uraiani. Uzi ni BBC wapo busy kumsimanga marehemu umekuja kukurupuka kuleta ngonjera zako,usilazimishe watu wakubaliane nawe. Punguza makasiriko
 
Umeshupalia mashahidi mashahidi ila ushahidi wenyewe hauna mashiko,kingine hata mwamposa aliua ila yupo uraiani. Uzi ni BBC wapo busy kumsimanga marehemu umekuja kukurupuka kuleta ngonjera zako,usilazimishe watu wakubaliane nawe. Punguza makasiriko
Wewe Dada unamteteaje mbakaji? Alafu nyinyi baada ndio mpaze sauti nyinyi ndio mnakandamizana wenyewe kwa wenyewe mnamuona mwenzenu anakatwa mapanga vipande vipande mnamuache afe kwanini mnakua na roho za hivyo lakini?

Kwanini wewe unasherehekea hili suala la wanawake wenzako kubakwa, kutiwa mimba, kulazimishwa kutoa mimba kwa njia hatarishi na kufanyiwa ukatiri na mtu ambae ametumia kivuli cha Dini na uchungaji kufanya uovu wake? Mashahidi ni ushahidi tosha wewe unataka ushahidi upi wakuonyeshe tupu zao zilivyofanywa zianikwe mitandaoni au unataka ushahidi upi?

Yaan nilitegemea wanawake ndio mtapaza sauti Ila nyinyi ndio mpo front kuwapinga wanawake wenzenu waliofanyiwa matendo ya kikatiri
 
Mkuu hayo yako

Uzi unahusu BBC kuipotezea kesi ya mchongo dhidi ya Taifa teule

#Pooovuuuu
 
Mkuu hayo yako

Uzi unahusu BBC kuipotezea kesi ya mchongo dhidi ya Taifa teule

#Pooovuuuu
Jibu swali kwanini unasherehekea wanawake wenzako kubakwa na kufanyiwa ukatiri wa kijinsia na mtu ambae ametumia kivuli cha Dini na uchungaji kutimiza ukatiri wake huo?

Unataka ushahidi nimekwambia mashahidi wapo na mashahidi ndio wenye ushahidi unataka nini kingine? Usisahau unajibishana na mtu anaeijua Evidence Act vizuri tu
 
What a rubbish,punguza ujuaji coz unakufanya kuzidi kua mjinga.
 
Wakati wanabakwa sikuwepo kama ulikuwepo ungewasaidia punguza povu anyway uzi unahusu

Kwanini BBC hawaonyeshi live genocide case Afrika Kusini dhidi ya israel?
 
Wakati wanabakwa sikuwepo kama ulikuwepo ungewasaidia punguza povu anyway uzi unahusu

Kwanini BBC hawaonyeshi live genocide case Afrika Kusini dhidi ya israel?
Kumbe najibishana mtoto wangu wa kike, haya sawa katoto nimekuelewa maana unajibu kitoto toto ukikua ukazaa watoto wa kike utaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…