Kwanini BBC hawaonyeshi live genocide case Afrika Kusini dhidi ya israel?

UKimstua hata raia wa izo nchi nao huwa wanapiga kelele nayenyewe anakua mkali🤣🤣
Raia hawaendeshi broadcast services moja kwa moja.

Raia washabiki wa Manchester United wakitaka vipindi visitishwe BBC utangaze mechi ya Manchester United live, professionals wa BBC wapangue programmes zao zote kufuatisha washabiki wa Manchester United wanasema nini?

Na hata hao raia umeona subset ndogo tubya Twitter.

Kwani BBC walikuwa na kipindi cha kutangaza kesi zote za ICJ live, halafu ikajabm kesi dhidi ya Israel wakakifuta kipindi?
 
Mhubiri 2:14

macho yake mwenye hekima yamo kichwani mwake, lakini mpumbavu huenda gizani; ila hata hivyo nikatambua ya kwamba ni tukio moja la mwisho liwapatalo wote sawasawa.
Wewe unamteteaje mbakaji kwa kutumia vifungu vya Mhubiri huyo mfalme Suleman mwenyewe aliekiandika hicho kitabu unamjua vizuri au unamsikia? Ushawahi sikia mfalme Sulemani alikua mbakaji wa watoto wenye bikra zao?
 
Uko sahihi sana.
 
Naangalia CNN hapa sasa hivi walikuwa wanazungumzia hii issue katika habari, wamepeleka habari mahakamani wakarusha live kutoka The Hague na ICJ for a minute or so.

Sijui mnataka wakatishe vipindi vya siku nzima habari iwe hiyo moja tu siku nzima live kutoka ICJ?
 
Mhubiri 2:14

macho yake mwenye hekima yamo kichwani mwake, lakini mpumbavu huenda gizani; ila hata hivyo nikatambua ya kwamba ni tukio moja la mwisho liwapatalo wote sawasawa.
Wewe unamteteaje mbakaji kwa kutumia vifungu vya Mhubiri huyo mfalme Suleman mwenyewe aliekiandika hicho kitabu unamjua vizuri au unamsikia? Ushawahi sikia mfalme Sulemani alikua mbakaji wa watoto wenye bikra zao?
 
Huna hoja

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mhubiri 2:14

macho yake mwenye hekima yamo kichwani mwake, lakini mpumbavu huenda gizani; ila hata hivyo nikatambua ya kwamba ni tukio moja la mwisho liwapatalo wote sawasawa.
Ushaolewa binti yangu? km bado kuna kijana hapa anahitaji kuoa usisubiri mpaka ubakwe
 
kulalamikiwa na wengi hakuzuii taasisi ya serikali kufanya maamuzi yake . Mfano mamlaka ya BANDARI Tanzania imeingia mkataba wa hovyo na mwekezaji DP World uliolalamikiwa na asilimia kubwa ya watanzania lakini Nini kilitokea? .
Kwa hiyo watu kuwalalamikia BBC haizuii wao kuendelea na mipango waliojiwekea kuhusu kazi zao.
 
Mhubiri 2:14

macho yake mwenye hekima yamo kichwani mwake, lakini mpumbavu huenda gizani; ila hata hivyo nikatambua ya kwamba ni tukio moja la mwisho liwapatalo wote sawasawa.
Ushaolewa binti yangu? km bado kuna kijana hapa anahitaji kuoa usisubiri mpaka ubakwe
 
Mhubiri 2:14

macho yake mwenye hekima yamo kichwani mwake, lakini mpumbavu huenda gizani; ila hata hivyo nikatambua ya kwamba ni tukio moja la mwisho liwapatalo wote sawasawa.
Tafuta mume uolewe usiwe maandishi ya mitaji ya watu, wenzio wakiyatamka hayo Pesa inaingia miamala inasoma
 
tangu hasubuhi BBC habari inayotawala ni kusifia US & UK juu ya mashambulizi waliyofanya kwa Yemen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…