Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Jengo lililoko bank halikosi choo lakini

Ova
 
Kwa nini Benki huwa hazina vyoo vya umma kwa ajili ya wateja wake? Ikiwa mtu anahitaji huduma ya choo akiwa benki anafanyaje ikizingatiwa kuna wakati mtu anaweza kukaa hadi nusu saa benki akisubiria huduma!

Hili ni suala la usalama au biashara?

Wajauzi tufahamisheni.
nusu saa? nenda crdb mlimani city unaweza ukamaliza nusu siku
 
Kwa nini Benki huwa hazina vyoo vya umma kwa ajili ya wateja wake? Ikiwa mtu anahitaji huduma ya choo akiwa benki anafanyaje ikizingatiwa kuna wakati mtu anaweza kukaa hadi nusu saa benki akisubiria huduma!

Hili ni suala la usalama au biashara?

Wajauzi tufahamisheni.
kunya hapo ulipo
 
Back
Top Bottom