Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Benki unadipoziti pesa na kuwithidroo pesa, sasa kaunta zao hazitaweza kuwithidroo ulichodipoziti chooni.Kwa nini Benki huwa hazina vyoo vya umma kwa ajili ya wateja wake? Ikiwa mtu anahitaji huduma ya choo akiwa benki anafanyaje ikizingatiwa kuna wakati mtu anaweza kukaa hadi nusu saa benki akisubiria huduma!
Hili ni suala la usalama au biashara?
Wajauzi tufahamisheni.
Umeenda Benki Kunya au kuweka Pesa usepe zako? Msituchoshe.Kwa nini Benki huwa hazina vyoo vya umma kwa ajili ya wateja wake? Ikiwa mtu anahitaji huduma ya choo akiwa benki anafanyaje ikizingatiwa kuna wakati mtu anaweza kukaa hadi nusu saa benki akisubiria huduma!
Hili ni suala la usalama au biashara?
Wajauzi tufahamisheni.
Unamaana wale mabinti wazuri, aah wapi hawana kitu hiyo.Unafikiri Staff wanajisaidia wapi ndugu mwandishi?
Au meneja wa tawi anajisaidia wapi?Unamaana wale mabinti wazuri, aah wapi hawana kitu hiyo.
Huwa wanakwenda kwenye hoteli za jirani.Au meneja wa tawi anajisaidia wapi?
Sidhani, japo siwezi kubisha sana maana sijatembelea mote ila kote nilipopita nakuta vyoo vya walimu na wanafunzi, vyoo vya wafanyakazi wa mahakama, vyoo vya watumishi wa halmashauri, vyoo vya maafande na kadhalika na mote humo asiyehusika ataingia kwa ruhusa(maelekezo) maalumu kutoka kwa wahusikaSehemu zote ulizozitaja zina vyoo vya umma.
Sidhani, japo siwezi kubisha sana maana sijatembelea mote ila kote nilipopita nakuta vyoo vya walimu na wanafunzi, vyoo vya wafanyakazi wa mahakama, vyoo vya watumishi wa halmashauri, vyoo vya maafande na kadhalika na mote humo asiyehusika ataingia kwa ruhusa(maelekezo) maalumu kutoka kwa wahusika
Sababu za kiusalama zaidi, wakati mko busy na kuweka pesa na kutoa mtu ataingia na ku organise Kikundi chake kutoa taarifa jinsi palivokaa waingie vipi na Kutoka vipi?
Dakika 5 tu zinatosha sana kupiga na Kutoka na chochote Kitu .... Hata kama wata compromise na ulinzi uliomo.
Lakini Ramani tu inatosha kufanya mkadirio na kuingiza vikundi na kupiga tukio haraka na kurudi nyuma kimbinu.
Smart Gang.
Wanaweza japo it's so rarely na wamekua wakiwauza wateja wanao toa bulks ( Mihela) Kwa majambazi ... Hapa tunaongelea mteja na wateja tusiowajua kabisa... Sifa ,Tabia na uwezo wenu kivyovyote vile .Wafanyakazi wa benki hawawezi kufanya hivyo?
kwani ni lazima ndani kwanini wasiweke vyoo vya njeNdio ni sababu za kiusalama kumbuka ni ngumu kumfuatilia mtu anapokuwa chooni na huwezi kuweka camera hivyo mtu anaweza kuingia kule aka army kisha akapanda juu anavunja up bord akatambaa kama nyoka hadi anapotaka akavunja akatumbukia Chini akaiba na kuuwa na kujeruhi kisha akapitia njia ile ile akarudi as if hakuna kilichotokea.
USSR
Hajanywa chaiNdugu mbona maneno makali asubuhi yote hii?
ni wachumi ndo maana wanafunga hadi kalamu ya sh.200Kwa nini Benki huwa hazina vyoo vya umma kwa ajili ya wateja wake? Ikiwa mtu anahitaji huduma ya choo akiwa benki anafanyaje ikizingatiwa kuna wakati mtu anaweza kukaa hadi nusu saa benki akisubiria huduma!
Hili ni suala la usalama au biashara?
Wajauzi tufahamisheni.
Unajua hekima ni nini?Siwezi kunya then badala kinyesi kiende zake Sasa kinarudi kugonga kilipotoka Ni kukosa hekima
Umeenda Benki Kunya au kuweka Pesa usepe zako? Msituchoshe.