Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Kuna mazingira ukifika Sense Organs zote zina seize kwanza.....
Yaani mkuu unatoa burungutu la maana akili ihamie chini kweli?

Ngoja niulize,...
Ushawahi ona mtu anaamka saa tisa usiku kwenda kukata gogo?😂😂😂

Labda huyo accountant wa kampuni nyingine na sio hela zake. Katumwa kuweka au kutoa pesa ya kampuni.
 
Vyoo vipo,,labda hujaulizia tu...Waweza wauliza walinzi au ata wafanyalaz hapo bank husika
 
Kwa nini Benki huwa hazina vyoo vya umma kwa ajili ya wateja wake? Ikiwa mtu anahitaji huduma ya choo akiwa benki anafanyaje ikizingatiwa kuna wakati mtu anaweza kukaa hadi nusu saa benki akisubiria huduma!

Hili ni suala la usalama au biashara?

Wajauzi tufahamisheni.
 
Ndio ni sababu za kiusalama kumbuka ni ngumu kumfuatilia mtu anapokuwa chooni na huwezi kuweka camera hivyo mtu anaweza kuingia kule aka army kisha akapanda juu anavunja up bord akatambaa kama nyoka hadi anapotaka akavunja akatumbukia Chini akaiba na kuuwa na kujeruhi kisha akapitia njia ile ile akarudi as if hakuna kilichotokea.

USSR
 
Ndio ni sababu za kiusalama kumbuka ni ngumu kumfuatilia mtu anapokuwa chooni na huwezi kuweka camera hivyo mtu anaweza kuingia kule aka army...
Vingejengwa nje ya Benki, hata nyumba ya jirani, wangewaomba vijengwe vya kulipia.W apo wenye matatizo ya sukari, kila wakati ni kutaka kwenda chooni na wenye matatizo ya tumbo.
 
Back
Top Bottom