MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Aisee, wateja wa benki hawapatwi na haja, ndogo wala kubwa, huo ndiyo mtizamo wa wenye benki, kama hautaki andamana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani ni suala la kiusalama zaidi.
Hata majengo ya kisasa kabisa ambayo yanajengwa na miudombinu rafiki hadi kwa walemavu lakini sehemu za bank hawaweki vyoo sehemu inayoonekana na wateja kirahisi (sidhani kama wanasahau)
BTW: Bank siyo sehemu ya ku-deposit uharo!
Hapo ni pesa tu kunya kwenu!
Jifanye kama umepanda daladala unafikiri ingekuwaje wangeweka vyoo humo?Nimefatilia Muda mrefu sana na kubaini kuwa ni karibu Bank zote hazina vyoo vya wateja.
Kwanini?
===
SAME CASES
-----
-----
===
MICHANGO YA WADAU:
-----
-----
Kazi za benki ni kupokea na kuweka amana kiongozi, hayo mambo ya choo tuwaachie manispaaNauliza, ipo sababu maalum ni kwanini benki nyingi hawaweki vyoo? Nipo kwenye mstari wa NMB toka saa 6 imenibidi nitoke nje ya benki kutafuta huduma hiyo muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauliza, ipo sababu maalum ni kwanini benki nyingi hawaweki vyoo? Nipo kwenye mstari wa NMB toka saa 6 imenibidi nitoke nje ya benki kutafuta huduma hiyo muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia pia kwa kuuliza kwanini huwa usiku benki huwa wanawasha taa za ndani hata nje??