RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kuna bank fulani choo kipo tena kinaonekana. Nilipokiona nikaingia nikamaliza mambo yangu nilipotoka mfanyakazi wa benki ananiambia hicho choo sio cha wateja ni cha wafanyakazi.
Nikamwambia nimeona alama ya choo tu sijaona katazo wateja tusitumie.
Siku yoyote nikizidiwa naingia humo.
Nikamwambia nimeona alama ya choo tu sijaona katazo wateja tusitumie.
Siku yoyote nikizidiwa naingia humo.