Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

Aisee, wateja wa benki hawapatwi na haja, ndogo wala kubwa, huo ndiyo mtizamo wa wenye benki, kama hautaki andamana.
 
Niliwahi kusikia kuwa ni masuala ya kiusalama zaidi.
Kukiwa na choo wateja wezi / majambazi wanaweza kutumia eneo hilo (choo) kwa kubadirishia sura (kuvaa vinyago) na au kuweka siraha zao sawa humo msalani.
(hapa najiongeza).
 
Benki inapimwa ufanisi kwa utoaji was huduma kwa uharaka. Ukianza kutoa hizo huduma nyingine Ina maana umeshafeli jukumu la msingi.
 
Benki gani hiyo haina choo? Labda hizo benki za Manzese. Otherwise humtumii yule askari/mlinzi kisawasawa.
 
Na kwanini hawaruhusu kuingia unakula kitu au kinywaji juzi nimeshika mkononi juice yangu nikatimuliwa nikaambiwa nimalizie huko nje ndio niingie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ni suala la kiusalama zaidi.

Hata majengo ya kisasa kabisa ambayo yanajengwa na miudombinu rafiki hadi kwa walemavu lakini sehemu za bank hawaweki vyoo sehemu inayoonekana na wateja kirahisi (sidhani kama wanasahau)

BTW: Bank siyo sehemu ya ku-deposit uharo!

Hapo ni pesa tu kunya kwenu!
 
Nadhani ni suala la kiusalama zaidi.

Hata majengo ya kisasa kabisa ambayo yanajengwa na miudombinu rafiki hadi kwa walemavu lakini sehemu za bank hawaweki vyoo sehemu inayoonekana na wateja kirahisi (sidhani kama wanasahau)

BTW: Bank siyo sehemu ya ku-deposit uharo!

Hapo ni pesa tu kunya kwenu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu ni rahisi sana ...

Bank zote zipo kwenye majengo na hakuna jengo lisilo na choo, tatizo ni kwamba vyoo vilivyopo sio kwa ajili ya public bali staffs. The same kwa biashara nyingine zote, vyoo vya umma vinapatikana nje na huduma ni ya kulipia, ukikamatika sana sana sana si vibaya ukaanzia huko ndio uingie kupata huduma otherwise, kama ni dharura sana then jaribu kuwasiliana na Meneja huduma kwa wateja, naamini atakusaidia.

Haiwezekani kuweka choo kwenye kila ''frame'' ya duka ama biashara, mwisho wapo watakaotaka pia wawekewe hotel kisha na vitanda then wengine watataka vyote hivyo viwemo pia kwenye saloon, retails shop, wakala, daladala, taxi mpaka na bodaboda

(Ni mtazamo binafsi)
 
Nauliza, ipo sababu maalum ni kwanini benki nyingi hawaweki vyoo? Nipo kwenye mstari wa NMB toka saa 6 imenibidi nitoke nje ya benki kutafuta huduma hiyo muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mazingira ukifika Sense Organs zote zina seize kwanza.....
Yaani mkuu unatoa burungutu la maana akili ihamie chini kweli?

Ngoja niulize,...
Ushawahi ona mtu anaamka saa tisa usiku kwenda kukata gogo?😂😂😂
 
Nakazia pia kwa kuuliza kwanini huwa usiku benki huwa wanawasha taa za ndani hata nje??
 
Sebuleni kunakuwaga na vyoo? Anyway pale ni sehemu ya fasta Ila ukiwa na uhitaji huduma hiyo ipo sio ndani bali nje
Nauliza, ipo sababu maalum ni kwanini benki nyingi hawaweki vyoo? Nipo kwenye mstari wa NMB toka saa 6 imenibidi nitoke nje ya benki kutafuta huduma hiyo muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom