Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Hali yetu ya uchumi ni mbaya na ndio maana watu wetu wako tayari kufanyiwa lolote ili TU labda wajisogeze kidogo.
Hata kama ni kwa kuhatarisha maisha Yao !! Kwanini wasiruhusiwe iwe na utaratibu maalumu namna na jinsi ya kujitolea.
Figo ni kiungo ambacho wagonjwa wengi wanateseka kama Kuna vijana wanataka kujitolea kwa kuuuza Figo zao ili kusaidia wagonjwa wafanye hivyo, wasiwekewe vikwazo hali mtaani ni ngumu sana.