Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #181
Tunajadiri wanefili mkuu.Rdi kwenye mada chapHuyo Mungu wenu kipindi anawaumba hao malaika waliokosa hakujua kama watakuja kukosa asiwaumbe ikiwa huwa mnatuaminisha ya kuwa yeye anayajua yajayo kabla ya kuyafikia?