Kwanini Biblia ilituficha kuhusu uzao wa majitu/Wanefili?

Huyo Mungu wenu kipindi anawaumba hao malaika waliokosa hakujua kama watakuja kukosa asiwaumbe ikiwa huwa mnatuaminisha ya kuwa yeye anayajua yajayo kabla ya kuyafikia?
Tunajadiri wanefili mkuu.Rdi kwenye mada chap
 
Yaani katika Maswali yote hilo ndio unaona ni Swali ? Wote tungekuwa Uzao wa Nuhu why the differences ? Ndio hapo utaona soon or later watu hao wanaweza kukubaliana na Evolution and if later why not sooner ?!!!
 
Sijakuelewa.

Kwa maana mwanzo 5 yote imetaja kizazi Cha adamu nuhu. Lakini haikutaja uzao wa wanefili ndo swali lipo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…