Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
15,892
Reaction score
16,476
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania;

Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

images (10).jpg

Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka haraka kwa kuangalia tu kwa macho kisha utagundua hizi ninachokisema.

Utagundua ya kuwa 98% ya gari zilizopo hapo ni za kutoka Japan (Toyota, Honda, Nissan, Suzuki, Mazda, Mitsubishi, Subaru, Isuzu) lakini bidhaa zingine madukani ni za kutoka nchini China. Why this? What's wrong with chinese automobile industry?

TAKWIMU NDOGO YA BIASHARA BAINA YA CHINA NA AFRIKA KWA MWAKA 2019
=====
According to statistics from the General Administration of Customs of China, in January-June, China’s total import and export volume with Africa was US$101.86 billion, up 2.9% year on year, exceeding the overall growth rate of foreign trade in the same period by 4.9 percentage points.

images (11).jpg

Among these, China’s exports to Africa were US$52.86 billion, up 5.2% year on year and China’s imports from Africa were US$49.00 billion, up 0.5% year on year; the trade surplus was US$3.86 billion, up 159.0% year on year.

In June, China’s total import and export volume with Africa was US$17.09 billion, up 2.3% year on year. Among these, China’s exports to Africa were US$9.29 billion, up 0.3% year on year; China’s imports from Africa were US$7.79 billion, up 4.7% year on year; the trade surplus was US$1.50 billion, down 17.6% year on year.

In January-June, the growth rate of China’s trade with Africa was lower than those with Oceania(6.2%) and Europe(3.9%).
=====

images (9).jpg

Kwanini magari kutoka China sio bidhaa maarufu hapa Africa (Tanzania) kama bidhaa zingine (domestic products) zilizojaa katika masoko/maduka yetu?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Magari ya China mbona yako mengi pia Mabasi asilimia 90 ni mchina, malori HOWO yamejaa kibao, kuna magreda ya kichina yameingia. Sawa magari madogo ya kichina hakuna ile magari makubwa makubwa yapo kibao
Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka haraka kwa kuangalia tu kwa macho kisha utagundua hizi ninachokisema.
 
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania;

Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

View attachment 1634465

Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka haraka kwa kuangalia tu kwa macho kisha utagundua hizi ninachokisema.

Utagundua ya kuwa 98% ya gari zilizopo hapo ni za kutoka Japan (Toyota, Honda, Nissan, Suzuki, Mazda, Mitsubishi, Subaru, Isuzu) lakini bidhaa zingine madukani ni za kutoka nchini China. Why this? What's wrong with chinese automobile industry?

TAKWIMU NDOGO YA BIASHARA BAINA YA CHINA NA AFRIKA KWA MWAKA 2019
=====
According to statistics from the General Administration of Customs of China, in January-June, China’s total import and export volume with Africa was US$101.86 billion, up 2.9% year on year, exceeding the overall growth rate of foreign trade in the same period by 4.9 percentage points.

View attachment 1634490

Among these, China’s exports to Africa were US$52.86 billion, up 5.2% year on year and China’s imports from Africa were US$49.00 billion, up 0.5% year on year; the trade surplus was US$3.86 billion, up 159.0% year on year.

In June, China’s total import and export volume with Africa was US$17.09 billion, up 2.3% year on year. Among these, China’s exports to Africa were US$9.29 billion, up 0.3% year on year; China’s imports from Africa were US$7.79 billion, up 4.7% year on year; the trade surplus was US$1.50 billion, down 17.6% year on year.

In January-June, the growth rate of China’s trade with Africa was lower than those with Oceania(6.2%) and Europe(3.9%).
=====

View attachment 1634489

Kwanini magari kutoka China sio bidhaa maarufu hapa Africa (Tanzania) kama bidhaa zingine zilizojaa katika masoko/maduka yetu?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
✓[emoji769] Mzungu alishatoka uko kwy bihashara za vitu yupo ktk soko la technology kama android, iOS, na software Mbali Mbali za technology
 
View attachment 1634489

Kwanini magari kutoka China sio bidhaa maarufu hapa Africa (Tanzania) kama bidhaa zingine zilizojaa katika masoko/maduka yetu?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

China hawana Brand ya magari kubwa. Hata kampuni zao kubwa za magari zilianza kama copycats wa magari ya Kijapan. Mjapan ni mzuri kwenye magari anauza mpaka Ulaya na Marekani, na ajabu ukipitia forums za discussion ya magari hasa wa Marekani wanakubali sana magari ya Japan kuliko model za magari yao. Niliona wanasema magari ya Japan na Ulaya ni mazuri kuliko yao na ni reliable. Ila mbona pia hapa yapomagari yao FAW na Yutong
 
China hawana Brand ya magari kubwa. Hata kampuni zao kubwa za magari zilianza kama copycats wa magari ya Kijapan. Mjapan ni mzuri kwenye magari anauza mpaka Ulaya na Marekani, na ajabu ukipitia forums za discussion ya magari hasa wa Marekani wanakubari sana magari ya Japan kuliko model za magari yao. Niliona wanasema magari ya Japan na Ulaya ni mazuri kuliko yao na ni reliable.
Toyota Land Cruiser mpaka wazungu wanaikubali sana, gari imara pia uwezo wake barabarani haudanganyi, ila sasa bei yake ni sawa tu na bei ya magari yao.
 
Great Wall, magari ya kichina yanakuja kwa kasi sana. Tujipe muda
Kwanini China aliweza kuteka soko la Afrika kwa "domestic products" lakini soko la magari wameshindwa mpaka sasa?

Magari ya kichina yanakuja? Lini? Kwanini hayakuja sambamba na "domestic products"?
 
Labda wa sababu barabara nyingi za Afrika zinafadhiliwa na pesa za Wajapani ndio maana wanataka magari yao pekee ndio yapite katika barabara hizo.

Sina uhakika lakini nimeotea tu.
Hahaha.... hapana kbs!! Barabara ni miundombinu ya Taifa.

WaChina wamepewa ufanisi wa Light manufacturers light industrial goods.

Na WaJapani yao ni Heavy industries
Kwa maana mitambo na vitendea kazi vikubwa !!
 
Great Wall, magari ya kichina yanakuja kwa kasi sana. Tujipe muda
Mchina gari ndogo hana matoleo mengi kuna hizo Great Wall,Foton, Haval.
Kwa Africa tumezoea Second Hand Car, mchina gari take ukinunua second hand inabidi ujipange ni nzuri Kwa mtumiaji wa Kwanza.
 
Back
Top Bottom