Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

Gari za Mjapani nyingi unazoziona ni Used so Used sio Biashara ile ni Dumping site tu kwa wajapan na wanafurahia old model vehicle
Ni biashara kwa maana tunawalipa pesa boss. Kama issue ni dumping kwanini wasitoe hayo magari bure?...
 
Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka haraka kwa kuangalia tu kwa macho kisha utagundua hizi ninachokisema.
Unajua mkuu, kwa road za mijini kweli utaona magari ya kichina kama ni machache. Lakini jaribu kupita hizi highway mfano dsm-tunduma, au maeneo ya border hizi kubwa uone. Au maeneo ya parking za magari makubwa kama morogoro(nane nane,mikumi na doma), ruaha mbuyuni, chalinze, nk. Magari ya kichina kama howo, dayun, faw, dongfeng, sitom, nk ni mengi mno.
Rudi kwenye mabasi nako wamedominate mno.
 
Kwenye hili mie mwenyewe huwa nadhani kuna mikataba serikali huwa inaingiaa ukiangalia magari 90% ya serikali yote ni Made from Japan, hii mikataba sidhani kama ina kuwa inawekwa wazi kwa Wananchi.
 
Yaani uko sahihi mkuu, kwa miaka 10 au 15 ijayo, magari ya mchina hasa makubwa yatakuwa mengi sana.
Kwa gari ndogo za mchina bado sana, labda Kwa watakao kuwa na uwezo wa kuagiza mpya. Hata kuzihudumia ni ghali sana.
 
Kwenye hili mie mwenyewe huwa nadhani kuna mikataba serikali huwa inaingiaa ukiangalia magari 90% ya serikali yote ni Made from Japan
Umenifumbua macho katika hili pia mkuu, nilikuwa sijawaza kabisa kuhusiana na magari ya serikali lakini upo sahihi sana. Asilimia kubwa wananunua kutoka Japan na sio kwa rafiki zetu wa muda mrefu wa China...
 
Kwani kwa ujuavyo wewe, magari makubwa ya mchina yameanza kuwa mengi around miaka mingapi iliyopita mkuu?
Hebu fanya research ya kilocal then uje na majibu. Utakubaliana na alichozungumza mwana jf hapo juu.
Kwa gari ndogo za mchina bado sana, labda Kwa watakao kuwa na uwezo wa kuagiza mpya. Hata kuzihudumia ni ghali sana.
 
Sio Africa tuu, USA, Europe, Aus, na nchi zote zingine. We unafikiri kwa nn Trump alimmind mchina. Ukienda madukani US au hata UK unakuta vitu vingi esp electronics na nguo ni za China
 
Ni biashara kwa maana tunawalipa pesa boss. Kama issue ni dumping kwanini wasitoe hayo magari bure?...
Kuna makampuni yametengeneza ajira kupitia biashara ya magari used japan,kuanzia makampuji yanayouza,bima,usafirishaji,ukaguzi pia spare nyingi zinauzika africa kwa ajili ya magari hayo hayo used
 
Back
Top Bottom