Kwanini bidhaa za China zina gharama nafuu katika soko la dunia? Sababu sio cheap labour kama wengi wanavyodhani

Uki-compare Europe au USA na China, bidhaa za China ni rahisi zaidi japo quality inaweza isiwe nzuri sana kama za Europe. I mean bidhaa zinazoenda Europe, qualities zake ni siyo mbaya.
Kama quality ni ndogo kwa nini watu wa Ulaya wananunua bidhaa za China?

Na mpaka ziingie Ulaya maana zimekizi vigezo vya nchi zs Ulaya na international standards sio?

BYD imeanza kuipiku Tesla kwa uuzaji wa magari katika baadhi ya nchi za Ulaya. Unafikiri ni kwa nini?
 
Hata mimi nashangaa anasifu nchi yenye polution ya aina hiyo na inayosifika kwa wafanyakazi wake kuteseka.
 
Tatizo lako ni ubishi na hutaki kusoma kwa ufahamu nilichoandika. Nimesema bidhaa zinakuja Europe zina ubora wa kuridhisha na hata bei iko juu kuliko zinazokwenda Afrika. Ila sasa ukifananisha na za Europe, kwangu mimi za Europe ni bora zaidi. Tofauti yake ni bei, za Europe ziko juu sana na watu wanaona ni bora kununua za China.
 
Kuna miji moshi huwa unatoka viwandani mpaka watu wanashindwa kuonana mitaani.
Incredible progress in environment in China.

Major Chinese cities don’t even appear in the top 400 most polluted cities in the world (2022 ranking).

iqair.com/in-en/world-mo…

Beijing: #489

Shanghai: #678

Guangzhou: #920

Shenzhen: #1533

How did China reduce pollution?

Electric cars, solar/wind energy, natural gas are the three main reasons.




Beijing
 
Needless to say the Chinese goods have no name for quality but they gain easy access to most countries markets because of their low prices.
 
Needless to say the Chinese goods have no name for quality but they gain easy access to most countries markets because of their low prices.
Chinese products no longer have quality issues. People who say that are ignorant and stuck in an era 20 or 30 years ago

 
Miji gani hiyo ?
 
Mbona hata Marekani ni kati ya nchi ambayo inauchafuzi mkubwa wa mazingira kutokana na moshi wa viwandani?
 

naomba ni summarise uchambuzi wako, kwa dondoo zifuatazo:
  1. Well-established supply chains
  2. Government support,
  3. Economies of scale,
  4. Access to cheap raw materials,
  5. Large pool of skilled workers
 
Mbona hata Marekani ni kati ya nchi ambayo inauchafuzi mkubwa wa mazingira kutokana na moshi wa viwandani?
Air pollution kubwa ya Marekani inayoongoza inatokana na moshi wa magari na matumizi ya nishati nyumbani(kupikia, AC na heating). China ni viwandani, wachina bado wanaongoza kutumia makaa ya mawe kwa wingi sana ambayo ni mabaya sana kwa mazingira kutokana na kuwa na kiwango cha juu cha carbon emissions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…