Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
... I'LL BE BACK!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuifafanua hii kitu?socialism with Chinese characteristics
Tafuta raia yoyote wa south Korea mwambie wanavyosymbuliwa na Moshi wa viwanda vya china.
Kuna msimu baadhi ya miji inajaa Moshi huwezi kuona hata jua..
View: https://youtu.be/jhi2PYOKQHs?si=vhT7EOy_QubzlZNj
Ingia kwenye hiyo link uone
Africa kuna cheap unskilled labourUnafikiri ni kwa nini Afrika inashindwa kutengeneza hizo bidhaa na ina cheap labour?
Africa kuna cheap unskilled labour
Unajua maana ya unskilled labour?Kwa hiyo China imefanikiwa kwa sababu ya kuwa na unskilled labour?
Mkuu umeshapata uraia wa kichina?Niwaulize nyinyi mlioiweka madarakani
Unajua maana ya unskilled labour?
Scroll up kuangalia mazungumzo yetu yalipoanzia
Hii hapaScroll up kuangalia mazungumzo yetu yalipoanzia
Tafuta raia yoyote wa south Korea mwambie wanavyosymbuliwa na Moshi wa viwanda vya china.
Kuna msimu baadhi ya miji inajaa Moshi huwezi kuona hata jua..
View: https://youtu.be/jhi2PYOKQHs?si=vhT7EOy_QubzlZNj
Ingia kwenye hiyo link uone
Huo moshi (fumes) wanajuaje umetoka China. South Korea kwao hakuna viwanda?
"Source of fumes can be anywhere and can spread anywhere".
Marekani naye ni mchafuzi wa mazingira kwa kiwango kikubwa Tu, wala hapaswi kutetewa kwa lolote lile.Air pollution kubwa ya Marekani inayoongoza inatokana na moshi wa magari na matumizi ya nishati nyumbani(kupikia, AC na heating). China ni viwandani, wachina bado wanaongoza kutumia makaa ya mawe kwa wingi sana ambayo ni mabaya sana kwa mazingira kutokana na kuwa na kiwango cha juu cha carbon emissions.
Marekani naye ni mchafuzi wa mazingira kwa kiwango kikubwa Tu, wala hapaswi kutetewa kwa lolote lile.
Nchi zinazoongoza kwa uchafuzi wa angahewa (atmosphere) Ni USA na China, hapo hakuna mjadala.
Kwa sababu akifanya hivyo anahofia viwanda vingi Vya nchini mwake aidha vitafungwa ama kupunguza uzalishaji (hivyo mapato ya nchi yatashuka). Kwa hiyo, zigo lote la uchafuzi wa angahewa kwa sasa anatupiwa China; hii Ni vita ya kiuchumi.Na Marekani alivyo mshenzi anajitoa kwenye kampeni za kimataifa zs kupunguza uchafuzi kama Kyoto Protocol
Afrika Haina Technologia, Labor siyo tatizo, kuna kazi viwandani hazihitaji elimu ni Technologia tu.Unafikiri ni kwa nini Afrika inashindwa kutengeneza hizo bidhaa na ina cheap labour?
Kutengeza bidhaa rahisi siyo cheap labour tu. Cheap labour ni factor ndogo sana. Unahitaji ujuzi, unahitaji jamii yenye culture ya uchapakazi, unahitaji mazingira mazuri ya uzalisha, unahitaji supply chain nzuri, unahitaji infrastructure za ubora, unahitaji nchi stable. Hizi nchi za kina Samia wanazoshindwa hata kujenga vyoo na kununua madawati sembuse kuendesha bandari wataweza?