Kwanini bidhaa za China zina gharama nafuu katika soko la dunia? Sababu sio cheap labour kama wengi wanavyodhani

Kwanini bidhaa za China zina gharama nafuu katika soko la dunia? Sababu sio cheap labour kama wengi wanavyodhani

Afrika Haina Technologia, Labor siyo tatizo, kuna kazi viwandani hazihitaji elimu ni Technologia tu.
Uko sahihi

Kwa hiyo wanaosema China wanaweza kutengeneza bidhaa kwa ghrama nafuu kwa sababu ya kuwa na cheap labour hawako sahihi kabisa

Kwanza kwa sasa China hakuna cheap labour mambo kama technology yanahusika na mengine yaliyoonyeshwa kwenye uzi
 
Kwa sababu akifanya hivyo anahofia viwanda vingi Vya nchini mwake aidha vitafungwa ama kupunguza uzalishaji (hivyo mapato ya nchi yatashuka). Kwa hiyo, zigo lote la uchafuzi wa angahewa kwa sasa anatupiwa China; hii Ni vita ya kiuchumi.
Yoda anasema China wanatumia Sana makaa ya Mawe (coal) hajui kwamba Germany nayo Ni miongoni mwa nchi zinazotumia makaa ya Mawe kwa wingi Duniani. Yoda kwa sababu ni hater wa china (& Chinese in general) basi kila Kitu kibaya ni kwa sababu ya China.
Mimi sio hater wa China bali wa CCP.
 
Afrika Haina Technologia, Labor siyo tatizo, kuna kazi viwandani hazihitaji elimu ni Technologia tu.
Labour haimaanishi tu wale vibarua wanaobeba viroba vya unga Azam au kwa Mo.
 
Kwahyo Africa inatumika na China kama damp la fake material? Hii smart TV yangu nchi 65 kumbe fake?
 
Pia China wanashusha Thamani ya sarafu yao makusudi ili ukinunua kitu kwao kinunulike kwa bei ndogo

mfano yuan 1 ya china ni sawa na Tsh 350 tuu ! saivi wakati ambao
dola moja ya marekani inafika hadi Tsh 2500 au hata zaidi

kwaiyo wanaiishusha makusudi kwaajili ya kufanya export kwa urahisi zaidi
Huwezi kushusha thamani ya sarafu ikiwa cost of production ilikuwa kubwa halafu utegemee utapata faida ukiuza bidhaa zako

Basi hata Japan na Marekani wangefanya devalution ili waexport zaidi ila bado kinachowabana ni gharama zao za uzalishaji ni kubwa itakuwa ni hasara kwao hata wakifanya currency devaluation

Kwa hiyo tunarudi pale pale China inauza kwa gharama ndogo bidhaa zake si kwa sababu ya sarafu yake sababu kuu ni kwa kuwa China imeweza kuminimize cost kwenye uzalishaji wenyewe
 
Bidhaa za China ni gharama na fuu kwasababu na zenyewe ni duni. Huwezi Tengeneza kitu imara alafu kikawa bei nafuu.

Hawa ni wapoigaji tu, Vitu Cheap wanatupiga bei kubwa, bidhaa zao hazishindani kwenye soko lenye bidhaa Imara.
China inauza bidhaa zake kwenye masoko ya Ulaya na Marekani. Mataifa ambayo inasemekana eti wanazingatia sana ubora wa bidhaa uendane na viwango vyao au vya kimataifa ili uwauzie.

Ikiwa bidhaa za China ni duni zinawezaje kuingia katika masoko ya mataifa hayo?

Baadhi ya viwanda katika nchi za Marekani na Ulaya wananunua critical components na processed minerals kutoka China

Ikiwa bidhaa za China ni duni kwa nini mataifa hayo yananunua components kutoka China ili watengeneze bidhaa zao za viwandani?
 
Kwa wa china wana angalia supply zaidi
So the more the demand of the world the more they supply to the world
 
Tatizo lako ni ubishi na hutaki kusoma kwa ufahamu nilichoandika. Nimesema bidhaa zinakuja Europe zina ubora wa kuridhisha na hata bei iko juu kuliko zinazokwenda Afrika. Ila sasa ukifananisha na za Europe, kwangu mimi za Europe ni bora zaidi. Tofauti yake ni bei, za Europe ziko juu sana na watu wanaona ni bora kununua za China.
Ni makosa sana kuzifananisha bidhaa za Ulaya na za China. Mchina ni mmatumbi tu anayetafuta pesa kwa kila namna.

Angalia generators, fridges n.k kutoka China kisha jaribu kutazama bidhaa hizo hizo kutoka Ulaya.

Ukiichukua spika yenyewe JBL ya ulaya, huwezi fananisha na vispika vya ajabu vya mchina.
 
China ni developing country, we umewahi kuona raia wa ulaya au USA kuja kuuza machinga/kupambana kupata mkate na Mwafrika?
Inashangaza Marekani inaiogopa kiteknolojia na kiuchumi developing country mpaka inafikia hatua ya kuiwekea tariffs kwenye hizo sekta
 
Ni makosa sana kuzifananisha bidhaa za Ulaya na za China. Mchina ni mmatumbi tu anayetafuta pesa kwa kila namna.

Angalia generators, fridges n.k kutoka China kisha jaribu kutazama bidhaa hizo hizo kutoka Ulaya.

Ukiichukua spika yenyewe JBL ya ulaya, huwezi fananisha na vispika vya ajabu vya mchina.
Ikiwa ndivyo China inawezaje kuuza bidhaa za electronics na nyinginezo Ulaya?
 
China ni developing country, we umewahi kuona raia wa ulaya au USA kuja kuuza machinga/kupambana kupata mkate na Mwafrika?
Wakati huohuo Ulaya na Marekani nao wanakimbilia kwenda kuwekeza China

Na bado China ni soko lao muhimu na kubwa la kuuza luxury goods kutoka Ulaya na Marekani

Unajifunza nini hapo kuhusu China?
 
Huko kwenye kutengeneza bidhaa za aina hiyo China ilishapita.

Kwa sasa China iko kwenye kutengeneza high tech goods ambazo zinahitaji uwe na complex supply chain ili kuminimize cost
Dah jamaa anajua China as government inakaa kikao kujadili kava ya infinix dah hv ni viwanga vya watu binafsi kama kukamua alizeti singida China iko highlevel
 
Taiwan ni province ya China na hivi karibuni itakuwa chini ya CPC
Naelewa, Kwa sababu kwanza Taiwan inatoa mfano mzuri sana kwa Wachina billion 1.3 kwamba unaweza kupata maendeleo makubwa bila udikteta na pili Taiwan ni mojawapo ya kituo cha ubora cha kidunia katika teknolojia ya computing.
 
Taiwan haina chochote cha kuizidi au kujivunia mbele ya China iwe kiteknolojia, kiuchumi au kijeshi ni kama tu province moja tu ndani ya China
 
Back
Top Bottom