Kwanini bidhaa za China zina gharama nafuu katika soko la dunia? Sababu sio cheap labour kama wengi wanavyodhani

Marekani naye ni mchafuzi wa mazingira kwa kiwango kikubwa Tu, wala hapaswi kutetewa kwa lolote lile.
Nchi zinazoongoza kwa uchafuzi wa angahewa (atmosphere) Ni USA na China, hapo hakuna mjadala.
 
Marekani naye ni mchafuzi wa mazingira kwa kiwango kikubwa Tu, wala hapaswi kutetewa kwa lolote lile.
Nchi zinazoongoza kwa uchafuzi wa angahewa (atmosphere) Ni USA na China, hapo hakuna mjadala.
Na Marekani alivyo mshenzi anajitoa kwenye kampeni za kimataifa za kupunguza uchafuzi kama Kyoto Protocol
 
Na Marekani alivyo mshenzi anajitoa kwenye kampeni za kimataifa zs kupunguza uchafuzi kama Kyoto Protocol
Kwa sababu akifanya hivyo anahofia viwanda vingi Vya nchini mwake aidha vitafungwa ama kupunguza uzalishaji (hivyo mapato ya nchi yatashuka). Kwa hiyo, zigo lote la uchafuzi wa angahewa kwa sasa anatupiwa China; hii Ni vita ya kiuchumi.
Yoda anasema China wanatumia Sana makaa ya Mawe (coal) hajui kwamba Germany nayo Ni miongoni mwa nchi zinazotumia makaa ya Mawe kwa wingi Duniani. Yoda kwa sababu ni hater wa china (& Chinese in general) basi kila Kitu kibaya ni kwa sababu ya China.
 
Huko nyuma Europe na marekani walishafua anga wakapata maendeleo....
Leo hii china na nchi nyingine zinawekewa vikwazo kwamba zinachafua anga....huu ni uhuni tu
 
Bidhaa za China ni gharama na fuu kwasababu na zenyewe ni duni. Huwezi Tengeneza kitu imara alafu kikawa bei nafuu.

Hawa ni wapoigaji tu, Vitu Cheap wanatupiga bei kubwa, bidhaa zao hazishindani kwenye soko lenye bidhaa Imara.
 
Unafikiri ni kwa nini Afrika inashindwa kutengeneza hizo bidhaa na ina cheap labour?
Afrika Haina Technologia, Labor siyo tatizo, kuna kazi viwandani hazihitaji elimu ni Technologia tu.
 
Pia China wanashusha Thamani ya sarafu yao makusudi ili ukinunua kitu kwao kinunulike kwa bei ndogo

mfano yuan 1 ya china ni sawa na Tsh 350 tuu ! saivi wakati ambao
dola moja ya marekani inafika hadi Tsh 2500 au hata zaidi

kwaiyo wanaiishusha makusudi kwaajili ya kufanya export kwa urahisi zaidi
 
Umesema vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…