Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #61
Afrika Haina Technologia, Labor siyo tatizo, kuna kazi viwandani hazihitaji elimu ni Technologia tu.
Mimi sio hater wa China bali wa CCP.Kwa sababu akifanya hivyo anahofia viwanda vingi Vya nchini mwake aidha vitafungwa ama kupunguza uzalishaji (hivyo mapato ya nchi yatashuka). Kwa hiyo, zigo lote la uchafuzi wa angahewa kwa sasa anatupiwa China; hii Ni vita ya kiuchumi.
Yoda anasema China wanatumia Sana makaa ya Mawe (coal) hajui kwamba Germany nayo Ni miongoni mwa nchi zinazotumia makaa ya Mawe kwa wingi Duniani. Yoda kwa sababu ni hater wa china (& Chinese in general) basi kila Kitu kibaya ni kwa sababu ya China.
Labour haimaanishi tu wale vibarua wanaobeba viroba vya unga Azam au kwa Mo.Afrika Haina Technologia, Labor siyo tatizo, kuna kazi viwandani hazihitaji elimu ni Technologia tu.
Pia China wanashusha Thamani ya sarafu yao makusudi ili ukinunua kitu kwao kinunulike kwa bei ndogo
mfano yuan 1 ya china ni sawa na Tsh 350 tuu ! saivi wakati ambao
dola moja ya marekani inafika hadi Tsh 2500 au hata zaidi
kwaiyo wanaiishusha makusudi kwaajili ya kufanya export kwa urahisi zaidi
Bidhaa za China ni gharama na fuu kwasababu na zenyewe ni duni. Huwezi Tengeneza kitu imara alafu kikawa bei nafuu.
Hawa ni wapoigaji tu, Vitu Cheap wanatupiga bei kubwa, bidhaa zao hazishindani kwenye soko lenye bidhaa Imara.
Kuna tofauti ya fake na ubora wa chini/duni. Kitu kinaweza kuwa duni lakini sio fake, kitu kinaweza pia kuwa bora ila ni fake.Kwahyo Africa inatumika na China kama damp la fake material? Hii smart TV yangu nchi 65 kumbe fake?
Mimi sio hater wa China bali wa CCP.
Inawezekana, mbona Taiwan hakuna CCP na maisha yanaendelea vizuri tu.Huwezi kuitenganisha China na CPC
Inawezekana, mbona Taiwan hakuna CCP na maisha yanaendelea vizuri tu.
China ni developing country, we umewahi kuona raia wa ulaya au USA kuja kuuza machinga/kupambana kupata mkate na Mwafrika?Hata mimi nashangaa anasifu nchi yenye polution ya aina hiyo na inayosifika kwa wafanyakazi wake kuteseka.
Ni makosa sana kuzifananisha bidhaa za Ulaya na za China. Mchina ni mmatumbi tu anayetafuta pesa kwa kila namna.Tatizo lako ni ubishi na hutaki kusoma kwa ufahamu nilichoandika. Nimesema bidhaa zinakuja Europe zina ubora wa kuridhisha na hata bei iko juu kuliko zinazokwenda Afrika. Ila sasa ukifananisha na za Europe, kwangu mimi za Europe ni bora zaidi. Tofauti yake ni bei, za Europe ziko juu sana na watu wanaona ni bora kununua za China.
China ni developing country, we umewahi kuona raia wa ulaya au USA kuja kuuza machinga/kupambana kupata mkate na Mwafrika?
Ni makosa sana kuzifananisha bidhaa za Ulaya na za China. Mchina ni mmatumbi tu anayetafuta pesa kwa kila namna.
Angalia generators, fridges n.k kutoka China kisha jaribu kutazama bidhaa hizo hizo kutoka Ulaya.
Ukiichukua spika yenyewe JBL ya ulaya, huwezi fananisha na vispika vya ajabu vya mchina.
China ni developing country, we umewahi kuona raia wa ulaya au USA kuja kuuza machinga/kupambana kupata mkate na Mwafrika?
Dah jamaa anajua China as government inakaa kikao kujadili kava ya infinix dah hv ni viwanga vya watu binafsi kama kukamua alizeti singida China iko highlevelHuko kwenye kutengeneza bidhaa za aina hiyo China ilishapita.
Kwa sasa China iko kwenye kutengeneza high tech goods ambazo zinahitaji uwe na complex supply chain ili kuminimize cost
Naelewa, Kwa sababu kwanza Taiwan inatoa mfano mzuri sana kwa Wachina billion 1.3 kwamba unaweza kupata maendeleo makubwa bila udikteta na pili Taiwan ni mojawapo ya kituo cha ubora cha kidunia katika teknolojia ya computing.Taiwan ni province ya China na hivi karibuni itakuwa chini ya CPC
Naelewa, Kwa sababu kwanza Taiwan inatoa mfano mzuri sana kwa Wachina billion 1.3 kwamba unaweza kupata maendeleo makubwa bila udikteta na pili Taiwan ni mojawapo ya kituo cha ubora cha kidunia katika teknolojia ya computing.