Kwanini bidhaa za China zina gharama nafuu katika soko la dunia? Sababu sio cheap labour kama wengi wanavyodhani

Hapo umezungumzia kwa kampuni by revenues

China ina kampuni nyingi za kutengeneza chips ukitoa hiyo SMIC ambayo by revenues ni ya 3 katika global market

Ila ukija kwenye global's share of chip sales China inauza chips zaidi kuliko Taiwan

Na hiyo TSMC Wamarekani wameshaanza kufanya juu chini the whole production ihamie kwao na waki-master chain supply nzima bye bye TSMC na Marekani ataiachia Taiwan kwa China.

Ukitoa TSMC Taiwan hawana kingine cha maana ambacho Marekani atapoteza muda wake kusema anai support Taiwan
 
Inawezekana, mbona Taiwan hakuna CCP na maisha yanaendelea vizuri tu.
Taiwan kuna wananchi wengi tu wanaokubaliana na CCP na maisha yanaenda.

By the way huwezi itenga Taiwan na CCP kisiasa,kiuchumi labda kama hufahamu wachina wa Taiwan jinsi gani walivyo karibu na wabara kisiasa na kiuchumi
 
Naelewa, Kwa sababu kwanza Taiwan inatoa mfano mzuri sana kwa Wachina billion 1.3 kwamba unaweza kupata maendeleo makubwa bila udikteta na pili Taiwan ni mojawapo ya kituo cha ubora cha kidunia katika teknolojia ya computing.
Taiwan gani haaah

Chiang Kai shek toka kukimbia na hifadhi ya dhahabu kutoka China bara mpaka Taiwan na kupitisha martial laws ndio unasema Taiwan ni mfano wa demokrasia na maendeleo haah

Hakuna demokrasia iliyoleta maendeleo Taiwan labda kama hufahamu historia ya Taiwan na China bara
 
Nimenunua chupa ya chai Kariakoo hakuna kitu kabisa. Ni uchafu tu kutoka China. Maaae zao ccm kuruhusu hizi takataka kuja nchini.
 
Huna hela
Wewe ukiwa nazo inatosha. Nyie ndio wangese mnaona sawa Raia wa Tz kuuziwa takataka, huku mkiwa mmepewa mamlaka ya kuzuia takataka kuingia nchini. Maamae zenu, mnagongwa.
 
Wewe ukiwa nazo inatosha. Nyie ndio wangese mnaona sawa Raia wa Tz kuuziwa takataka, huku mkiwa mmepewa mamlaka ya kuzuia takataka kuingia nchini. Maamae zenu, mnagongwa.
Huna Hela acha hasira
 
Hawajasoma English medium Hawa jamaa skilled personnel wa kichina waliosoma STEM.
Jamaa wamewekeza mno degree za Engineering from VETA formality sijui polytechnical wanalipwa mno kuliko Hawa wa mfumo wa academia like udsm wanaojua madesa mno kuliko practical
 
Na vyuo vya China kwa sasa vinafanya vizuri sana kwenye masuala ya research za sci-tech duniani kuzidi hata vya Marekani

Matokeo yake vimezalisha wataalamu wengi wenye quality katika STEM

Taasisi ya Kisayansi ya China (The Chinese Academy of Sciences-CAS). Taasisi kubwa zaidi ya kisayansi ulimwenguni imeipita chuo cha Harvard cha Marekani na kuwa ya kwanza kwa tafiti bora na mchango wa kisayansi katika natural science na health science



 
Kweli vinafanya vizuri ndio maana vilituletea Covid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…