Kwanini Bikra Maria anatumika kuwaombea wakatoliki wakati alishakufa?

Kwanini Bikra Maria anatumika kuwaombea wakatoliki wakati alishakufa?

Umekosea mkuu inasemekana bikira maria alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu kwahiyo bikira alikufa nayo.
Hakuna kitu km hicho kisichowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu kinawezekana hio maana halisi ya -afirwe munu asagwile munu..

unakumbuka Musa pale jangwani aliliwa na wana wa Israel kwamba wemsenge Musa huyo MUNGU wako yuko wapi umetuleta huku jangwani tufe na njaa si bora mara 100 tungebakia kule Misri..

Musa akaongea na Mungu kisha Mungu akamwambia chukua fimbo yako uende kwenye mwamba utauchapa huo mwamba mara moja tu nayo maji yatatoka..

Musa akachukua fimbo mpaka kwenye mwamba yeye na watu wake kifika pale akautazama mwamba kisha akauchapa mwamba utoe maji na ionekane km yeye ndie anaewezesha mwamba kutoa maji kumbe sio yeye ni Mungu..

hivyo kwa hio mara ya kwanza maji hayakutoka na watu hao wakawa wamemtolea macho Musa kwamba wewe Mungu wako sio chochote sio lolote pumbavu mmoja wewe hayo maji yapo wapi?

Musa kuona hivyo si akauchapa Mwamba tena kwa nguvu zaidi kwa mara ya pili ila kumbuka Mungu alimwambia auchape mwamba mara moja tu sio zaidi ya hapo..

baada ya kuuchapa mara ya pili kweli maji yakatoka ila Musa akakumbana na adhabu kali kutoka kwa MUNGU

kwamba pamoja na hekaheka zote zile za kuparangana na farao na kuwavusha wana wa Israel yeye hatofika Nchi ya ahadi atafia palepale jangwani hata mifupa yake itabakia palepale isipokua ndugu yake Haruni na wengine watafika Nchi ya ahadi na adhabu hio ikatimia..

unajua kwanini Mungu alimuadhibu Musa?
 
Hata huyu mwamba anaonekana ana maswali kibao kichwani

1792440664646.png
 
Sijui mkuu, endelea kufafanua maandiko kama haya wachungaji wanafichaficha!
 
🤔🙌 ( Haya )
Maswali km haya usipojibu kwa namna hio anaeuliza maswali hawezi kuelewa kwa hio inabidi umpasulie mule mule kwanini yesu aliitwa mwana wa Mungu sababu Mungu alimtomba Maria full stop hakuna maelezo mengine una swali lingine uliza usiniambie habari za the holy ghost vitabu vya zamani Biblia za zamani walikua wanaandika hivyo hizi matoleo ya sasa wanasema the holy spirit kunogesha maneno ila maana yake ni ile ile Mungu
 
Mimi kama Mkristo ninaposema "Bikira Maria utuombee," simchukulii Maria kama Mungu na wala simwabudu hata kidogo.

Namwabudu Mungu pekee, lakini namwomba Maria aniombee kwa Mungu (uombezi) kwa sababu naamini yuko hai mbinguni karibu na Mwanae Yesu Kristo, na maombi yake yana nguvu kubwa kutokana na utakatifu na nafasi yake ya kipekee kama Mama wa Mwokozi. Huu ni uombezi wa kawaida kama ule ninaomwomba rafiki au mchungaji wangu aniombee ninapokuwa na shida, isipokuwa tu Maria yuko mbinguni na ana ushawishi mkubwa zaidi mbele za Mungu.

Imani yangu hii inasimama imara juu ya mistari ya Biblia. Katika Yakobo 5:16, neno la Mungu linaniambia kuwa “kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.” Kwa kuwa Malaika Gabrieli katika Luka 1:28 alimwambia Maria “Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe,” najua kabisa kuwa Maria ni mwenye haki mkuu aliyekamilika, na maombi yake kwenda kwa Mungu kwa ajili yangu yana nguvu sana. Zaidi ya hayo, kitabu cha Ufunuo 5:8 kinanionyesha wazi kuwa watakatifu mbinguni wanashikilia “vitasa vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambayo ni maombi ya watakatifu” (yaani maombi yetu sisi tulio duniani), jambo linalonithibitishia kuwa Maria ana uwezo wa kupokea maombi yangu na kuyawasilisha mbele za Mungu.

Mimi pia najifunza kutoka kwenye Injili ya Yohane 2:1-11 katika Harusi ya Kana, ambapo naona nguvu ya uombezi wa Maria waziwazi. Maria alipoona wenye harusi wameishiwa divai, aliingilia kati na kumwambia Yesu, “Hawana divai.” Licha ya kwamba wakati wa Yesu ulikuwa bado, alisisitiza na kuwaambia watumishi, “Lo lote atakalowaambia, fanyeni,” na Yesu akasikiliza ombi la Mama yake na kufanya muujiza wake wa kwanza. Hii inanipa ujasiri wa kumwambia Maria aniombee leo, nikijua kuwa kama vile Yesu alivyomsikiliza duniani, ndivyo anavyomsikiliza na mbinguni.
Ninapomwomba Maria aniombee, ninatenda sawasawa na unabii uliopo kwenye Luka 1:48 ambapo yeye mwenyewe alisema, “Kwa maana tangu sasa vizazi vyote wataniita mbarikiwa.” Mimi nikiwa miongoni mwa vizazi hivyo, namtaja kama mbarikiwa na kumkimbilia kama Mama yangu wa kiroho aliyekabidhiwa kwetu na Yesu pale msalabani (Yohane 19:27), nikiwa na amani moyoni kuwa ananiombea baraka na neema kwa Mungu Baba.
Kwa andiko lako, kwa hiyo kiama ama siku ya hukumu kumbe haipo!

Kama kuna watu walio tayari wamekaa kuume kwa Mungu raha mustarehe(watakatifu) ambao sisi ndiyo tunawaita waombezi wetu, je nao wanasubiri hukumu?

Kama ni 'ndiyo' waliingizwaje patakatifu kabla ya kiama?

Na kama ni 'hapana' je hukumu ya mwisho itawahusu wepi na haitawahusu wepi?

Wale watakatifu watakaokuwa tayari washapokelewa peponi na kupumzishwa, watakuja kukurupushwa tena kuja kupanga foleni la hukumu siku ya mwisho?

Naomba jibu lako ulipangilie kimantikii ili niweze kuelewa vizuri.
 
Sijui mkuu, endelea kufafanua maandiko kama haya wachungaji wanafichaficha!
Ili mwanamke yoyote apate mtoto hatua ya kwanza na ya awali kabisa lazima atombwe tusidanganyane sijui ilikua hivi ilikua vile hakuna sehemu kwenye biblia imesema alikua Mwanamke wa miujiza haipo km ipo nionyeshe huo mstari yaan alifanya dubleduble akatokea yesu sijui km kuna huo mstari basi km sio hivyo maana yake alichezea kitombo kitakatifu hadi akashika mimba hayo masuala mengine ya kubakia bikira mimi sikuwepo kushuhudia maana hio inapingana na sayansi ya muda mrefu inawezekanaje uwe na mimba na ubakie bikira mtoto alipita wapi km yeye alibakia kua sealed au alipita mdomoni au ndio mambo ya roho mtakatifu alimpitisha bila kumakufunguka?
 
Kwanini Wakatoliki wanamtumia Bikira Maria awaombee wakati Bikira Maria ni binadamu tu wa kawaida kama sisi? Na kwanini kwenye Biblia maisha yake hayajaandikwa sana? .

Mimi hapa najiuliza na nitaendelea kushangaa sana, inawezekaje kumtumia Bikira Maria akuombee kwa Mungu wakati ameshakufa na yuko ardhini?.

Kwenye Biblia hakuna sehemu hata moja aliyotajwa Bikira Maria akiombwa, akitambuliwa kama mpatanishi, au kuambiwa atuombee!.

Maria alikuwa binadamu tu wa kawaida kabisa kama sisi tulivyo, na hata Biblia yenyewe haijamzungumzia sana.
Wala hata Yesu mwenyewe hajawahi kusema au kuagiza mahali popote kwamba tumtumie Bikira Maria kama daraja la kufikia maombi yetu..

ASA KWANINI?
Au ndo kujiamulia Mambo stori za wazungu.
Asa hivi ni mwendo doggy style kwenye kaaba
 
Maswali km haya usipojibu kwa namna hio anaeuliza maswali hawezi kuelewa kwa hio inabidi umpasulie mule mule kwanini yesu aliitwa mwana wa Mungu sababu Mungu alimtomba Maria full stop hakuna maelezo mengine una swali lingine uliza usiniambie habari za the holy ghost vitabu vya zamani Biblia za zamani walikua wanaandika hivyo hizi matoleo ya sasa wanasema the holy spirit kunogesha maneno ila maana yake ni ile ile Mungu
Mkuu, me habari za Yesu na bikira maria uwa sizielewagi me ninachojua na kinachowachanganya watu wengi ni habari za shetani na Mungu
HUYU MUNGU NI YULE YULE SHETANI.
Mungu yule yule anayebariki na kutenda mazuri ndiye huyo huyo anayeua na kuangamiza watu yani Ofisi yao ni moja na Boss ni mmoja, hakuna Mungu wawili wanaopigana vikumbo duniani.

Mungu hataki kumsingizia kiumbe mwingine anapoamua kuua. Yeye anasema wazi kuwa anafanya kazi zote mbili.

Bila Yuda kumsaliti Yesu, kusingekuwa na kukamatwa kwake, kusingekuwa na msalaba, na kusingekuwa na wokovu ambao watu wanajivunia leo. Maana yake, Yuda alikuwa anatekeleza amri ya juu kabisa kutoka Ofisi Kuu ya Mungu.

Watu wanasema Shetani ndiye aliyemharibu Yuda. Lakini cheki jinsi Shetani na Mungu wanavyofanya kazi kama Nafsi Moja yenye Akili Moja.

Hebu angalia Yohana 13:27 inasema Na baada ya lile tonge, Shetani alimuingia Yuda, Basi Yesu akamwambia, Ulicho nacho cha kufanya, kifanye upesi.

Hapa unaona nini? Shetani anamuingia Yuda, na Yesu ambaye mnasema ni Mungu anamwambia Nenda kafanye fasta.

Mungu na Shetani ni kitu kimoja kinachotokea Ofisi Moja. Mungu anakuja kama Yesu na Mungu huyo huyo anamwachia kamba Shetani amuingie Yuda ili kutekeleza kifo cha msalabani.

Kwenye Biblia, Mungu ndiye Muuaji Mkuu Yeye mwenyewe haoni aibu, anajigamba hadharani na kutwanga mabomu ya vifo huku akicheka kwa sababu Yeye na Shetani ni Ofisi Moja.

1 Wafalme 22:21-23: Mungu alikuwa amekaa kwenye kiti chake cha enzi akitafuta wa kwenda kumdanganya Mfalme Ahabu ili akalaumiwe na auwawe vitani. Akaja roho akasema atakuwa roho ya uongo. Mungu akamwambia, Utamdanganya, na utashinda pia ondoka ukafanye hivyo.

unaona hapo?

Wachungaji wenu wamewalisha ujinga wa kwamba kitabu hiki kimejaa mafumbo ya kiroho yanayohitaji Roho Mtakatifu ili kuelewa, lakini ukweli ni kwamba waandishi wenyewe wameandika na kuchanganya mambo waziwazi.
 
Hapa kuna majibu ya moja kwa moja kwa kila swali lako ili uelewe jinsi mifumo hii miwili inavyofanya kazi pamoja:

1. Kiama (Siku ya Mwisho) kipo au hakipo?

Kiama na Siku ya Mwisho vipo 100%. Biblia iko wazi kabisa kuwa kutakuwa na mwisho wa dunia, ufufuo wa miili, na Hukumu ya Mwisho (kama inavyoelezwa katika Mathayo 25:31-46 na Ufunuo 20:11-15). Mafundisho ya uombezi wa watakatifu hayafuti kabisa uwepo wa Kiama.

2. Waliingizwaje patakatifu bila Kiama?

Katika Ukristo, kuna aina mbili za hukumu:
• Hukumu ya Kwanza (Particular Judgment): Hii hutokea mara tu mtu anapokufa. Roho ya mtu inahukumiwa kulingana na maisha yake duniani. Kama alikuwa mtakatifu/mwenye haki, roho yake inaenda mbinguni (Patakatifu) moja kwa moja kufurahia uwepo wa Mungu. Ndiyo maana Bikira Maria na watakatifu wengine wako mbinguni sasa hivi kiroho.
• Hukumu ya Mwisho (General/Last Judgment): Hii ndiyo Siku ya Kiama. Hapa, miili ya wafu wote itafufuliwa na kuungana na roho zao. Mungu atadhihirisha hukumu ya kila mtu waziwazi mbele ya viumbe vyote na kuweka upya mbingu na dunia.

3. Watu walioko mbinguni watakuja kupanga foleni kusubiri hukumu tena?

Hapana, hawatakuja kubadilishewa hukumu zao. Wale ambao tayari wako mbinguni (kama Bikira Maria na watakatifu) au wale walioko motoni hawataenda "kupanga foleni" ili kukatiwa rufaa au kubadilishiwa adhabu/tuzo zao.
Katika Siku ya Kiama, hukumu yao ya kwanza haitabadilika bali itathibitishwa waziwazi mbele ya ulimwengu wote, na kikubwa kitakachoongezeka ni kwamba watapokea miili yao ya utukufu (iliyofufuliwa) ili waingie nayo mbinguni au motoni kimwili na kiroho, tofauti na sasa ambapo wako huko kiroho tu.

4. Hukumu ya Mwisho itawahusu watu gani na haitawahusu watu gani?

Hukumu ya Mwisho itawahusu watu wote bila ubaguzi—walio hai na waliokufa, walioko mbinguni, walioko toharani (kwa Kikatoliki), na walioko motoni.
• Itawahusu vipi wenye haki walioko mbinguni? Haitawahusu kwa maana ya kuwashtaki au kuwahukumu adhabu. Badala yake, itakuwa ni siku ya kuwatukuza hadharani, kudhihirisha wema wao, na kuwapa miili ya ufufuo.
• Itawahusu vipi walio motoni na wale watakaokutwa hai wakiwa waovu? Itakuwa ni siku ya aibu na dhihirisho la haki ya Mungu kuwahukumu adhabu ya milele ya mwili na roho.
 
Mleta mada unataka kufundishwa au unajifanya una ufahamu wakati inaonekana ni mtupu kabisa?

Kama unajua chochote kuhusu Bikira Maria, jibu maswali haya yafuatayo:

1. Ni wapi imesemwa kuwa Bikira alikuwa mwanadamu wa kawaida kama wewe? Kwenye Biblia, malaika anasema kuwa Bikira Maria amebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Bikira Maria kwa kauli yake, ambayo yalikuwa ni kutoka kwa Roho Mtakatifu aliyekuwa ndani yake, anasema kuwa
Roho yake inamtukuza Bwana kwa kuwa Mungu amemtendea Makuu, na tazama vizazi vyote vitamwita mbarikiwa. Wewe unayesema upo sawa na bikira Maria, na wewe unaitwa mbarikiwa na vizazi vyote?

Lakini lililokuwa muhimu zaidi, ni kuwa wengi, akiwemo mleta mada, hawajui maisha ya Bikira Maria baada ya Yesu kufufuka na kupaa mbinguni, wala hawajui chochote namna bikira Maria alivyondoka katika Ulimwengu huu baada ya kumwomba Yesu aikumbuke ahadi yake ya kumchukua alipokuwa anapaa mbinguni.

Ufahamu kuwa Biblia ni msingi mkuu wa imani ya Kikristo, lakini nje ya biblia kuna maandiko mengi ya kiimani ambayo ni majibu ya mambo mengi ya kiimani yanayofanyika, lakini hayapo ndani ya biblia.

Siwezi kuandika yote kuhusiana na Bikira Maria maana ni mengi sana. Ukiweza, tafuta kitabu cha ushuhuda wa Mtume Yohana juu ya Mama wa Bwana wetu alivyoondoka katika Ulimwengu. Kwa ufupi, ufahamu kuwa kuondoka kwa Bikira Maria kulishuhudiwa na mitume wote, waliokuwa na ambao walikuwa tayari walikwishakufa, na hilo lilikuwa ni ombi la Bikira Maria kwa Yesu Kristo kuwa aagwe na mitume wote, wakiwemo waliokuwa tayari walikwishakufa siku nyingi.

Life in Jerusalem / Mount Olivet: Mary lived under John's care, frequently visiting the tomb of Christ to pray and burn incense.

The Summons of the Apostles: An angel appeared to Mary to announce that her time to leave the earth had come. She requested that all the apostles be gathered to her side before her passing.

Arrival of the Apostles: By miraculous means (such as clouds), the apostles were gathered together at her house in Jerusalem (except for Thomas, who arrived later).
 
Wachungaji wenu wamewalisha ujinga wa kwamba kitabu hiki kimejaa mafumbo ya kiroho yanayohitaji Roho Mtakatifu ili kuelewa, lakini ukweli ni kwamba waandishi wenyewe wameandika na kuchanganya mambo waziwazi.
Ukiisoma biblia km unavyosoma Gazeti la The Citizen huwezi kuielewa kwanza kabla hujaanza kuisoma inabidi ujitakase na umuitee roho mtakatifu umuite Mungu aje akufunulie hayo maandiko ukisomasoma tu km unasoma Gazeti la udaku kuelewa ni ngumu sana
 
Lengo la kukifanya kitabu kiwe kigumu mpaka awepo roho mtakatifu ni nini?
 
Back
Top Bottom