AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hakuna kitu km hicho kisichowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu kinawezekana hio maana halisi ya -afirwe munu asagwile munu..Umekosea mkuu inasemekana bikira maria alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu kwahiyo bikira alikufa nayo.
Alitombwa na Mungu hio uwezo wa roho mtakatifu ni funika funika tu, Mungu mpaka kesho anawatia mimba tasa na wagumba kikubwa wamuamini tu kwamba yeye ni Bwana Mungu wa Majeshi
Sijui mkuu, endelea kufafanua maandiko kama haya wachungaji wanafichaficha!Hakuna kitu km hicho kisichowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu kinawezekana hio maana halisi ya -afirwe munu asagwile munu..
unakumbuka Musa pale jangwani aliliwa na wana wa Israel kwamba wemsenge Musa huyo MUNGU wako yuko wapi umetuleta huku jangwani tufe na njaa si bora mara 100 tungebakia kule Misri..
Musa akaongea na Mungu kisha Mungu akamwambia chukua fimbo yako uende kwenye mwamba utauchapa huo mwamba mara moja tu nayo maji yatatoka..
Musa akachukua fimbo mpaka kwenye mwamba yeye na watu wake kifika pale akautazama mwamba kisha akauchapa mwamba utoe maji na ionekane km yeye ndie anaewezesha mwamba kutoa maji kumbe sio yeye ni Mungu..
hivyo kwa hio mara ya kwanza maji hayakutoka na watu hao wakawa wamemtolea macho Musa kwamba wewe Mungu wako sio chochote sio lolote pumbavu mmoja wewe hayo maji yapo wapi?
Musa kuona hivyo si akauchapa Mwamba tena kwa nguvu zaidi kwa mara ya pili ila kumbuka Mungu alimwambia auchape mwamba mara moja tu sio zaidi ya hapo..
baada ya kuuchapa mara ya pili kweli maji yakatoka ila Musa akakumbana na adhabu kali kutoka kwa MUNGU
kwamba pamoja na hekaheka zote zile za kuparangana na farao na kuwavusha wana wa Israel yeye hatofika Nchi ya ahadi atafia palepale jangwani hata mifupa yake itabakia palepale isipokua ndugu yake Haruni na wengine watafika Nchi ya ahadi na adhabu hio ikatimia..
unajua kwanini Mungu alimuadhibu Musa?
Maswali km haya usipojibu kwa namna hio anaeuliza maswali hawezi kuelewa kwa hio inabidi umpasulie mule mule kwanini yesu aliitwa mwana wa Mungu sababu Mungu alimtomba Maria full stop hakuna maelezo mengine una swali lingine uliza usiniambie habari za the holy ghost vitabu vya zamani Biblia za zamani walikua wanaandika hivyo hizi matoleo ya sasa wanasema the holy spirit kunogesha maneno ila maana yake ni ile ile Mungu🤔🙌 ( Haya )
Kwa andiko lako, kwa hiyo kiama ama siku ya hukumu kumbe haipo!Mimi kama Mkristo ninaposema "Bikira Maria utuombee," simchukulii Maria kama Mungu na wala simwabudu hata kidogo.
Namwabudu Mungu pekee, lakini namwomba Maria aniombee kwa Mungu (uombezi) kwa sababu naamini yuko hai mbinguni karibu na Mwanae Yesu Kristo, na maombi yake yana nguvu kubwa kutokana na utakatifu na nafasi yake ya kipekee kama Mama wa Mwokozi. Huu ni uombezi wa kawaida kama ule ninaomwomba rafiki au mchungaji wangu aniombee ninapokuwa na shida, isipokuwa tu Maria yuko mbinguni na ana ushawishi mkubwa zaidi mbele za Mungu.
Imani yangu hii inasimama imara juu ya mistari ya Biblia. Katika Yakobo 5:16, neno la Mungu linaniambia kuwa “kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.” Kwa kuwa Malaika Gabrieli katika Luka 1:28 alimwambia Maria “Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe,” najua kabisa kuwa Maria ni mwenye haki mkuu aliyekamilika, na maombi yake kwenda kwa Mungu kwa ajili yangu yana nguvu sana. Zaidi ya hayo, kitabu cha Ufunuo 5:8 kinanionyesha wazi kuwa watakatifu mbinguni wanashikilia “vitasa vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambayo ni maombi ya watakatifu” (yaani maombi yetu sisi tulio duniani), jambo linalonithibitishia kuwa Maria ana uwezo wa kupokea maombi yangu na kuyawasilisha mbele za Mungu.
Mimi pia najifunza kutoka kwenye Injili ya Yohane 2:1-11 katika Harusi ya Kana, ambapo naona nguvu ya uombezi wa Maria waziwazi. Maria alipoona wenye harusi wameishiwa divai, aliingilia kati na kumwambia Yesu, “Hawana divai.” Licha ya kwamba wakati wa Yesu ulikuwa bado, alisisitiza na kuwaambia watumishi, “Lo lote atakalowaambia, fanyeni,” na Yesu akasikiliza ombi la Mama yake na kufanya muujiza wake wa kwanza. Hii inanipa ujasiri wa kumwambia Maria aniombee leo, nikijua kuwa kama vile Yesu alivyomsikiliza duniani, ndivyo anavyomsikiliza na mbinguni.
Ninapomwomba Maria aniombee, ninatenda sawasawa na unabii uliopo kwenye Luka 1:48 ambapo yeye mwenyewe alisema, “Kwa maana tangu sasa vizazi vyote wataniita mbarikiwa.” Mimi nikiwa miongoni mwa vizazi hivyo, namtaja kama mbarikiwa na kumkimbilia kama Mama yangu wa kiroho aliyekabidhiwa kwetu na Yesu pale msalabani (Yohane 19:27), nikiwa na amani moyoni kuwa ananiombea baraka na neema kwa Mungu Baba.
Kondoo wa bwana? Kondoo kwasababu ni wapoleeMkuu ili uelewa anza kwanza na neno Kondoo..
kwanini biblia imewaita wafuasi wake kuwa ni KONDOO?
Ili mwanamke yoyote apate mtoto hatua ya kwanza na ya awali kabisa lazima atombwe tusidanganyane sijui ilikua hivi ilikua vile hakuna sehemu kwenye biblia imesema alikua Mwanamke wa miujiza haipo km ipo nionyeshe huo mstari yaan alifanya dubleduble akatokea yesu sijui km kuna huo mstari basi km sio hivyo maana yake alichezea kitombo kitakatifu hadi akashika mimba hayo masuala mengine ya kubakia bikira mimi sikuwepo kushuhudia maana hio inapingana na sayansi ya muda mrefu inawezekanaje uwe na mimba na ubakie bikira mtoto alipita wapi km yeye alibakia kua sealed au alipita mdomoni au ndio mambo ya roho mtakatifu alimpitisha bila kumakufunguka?Sijui mkuu, endelea kufafanua maandiko kama haya wachungaji wanafichaficha!
Asa hivi ni mwendo doggy style kwenye kaabaKwanini Wakatoliki wanamtumia Bikira Maria awaombee wakati Bikira Maria ni binadamu tu wa kawaida kama sisi? Na kwanini kwenye Biblia maisha yake hayajaandikwa sana? .
Mimi hapa najiuliza na nitaendelea kushangaa sana, inawezekaje kumtumia Bikira Maria akuombee kwa Mungu wakati ameshakufa na yuko ardhini?.
Kwenye Biblia hakuna sehemu hata moja aliyotajwa Bikira Maria akiombwa, akitambuliwa kama mpatanishi, au kuambiwa atuombee!.
Maria alikuwa binadamu tu wa kawaida kabisa kama sisi tulivyo, na hata Biblia yenyewe haijamzungumzia sana.
Wala hata Yesu mwenyewe hajawahi kusema au kuagiza mahali popote kwamba tumtumie Bikira Maria kama daraja la kufikia maombi yetu..
ASA KWANINI?
Au ndo kujiamulia Mambo stori za wazungu.
Ndio nini hiki umeandika hapa?Asa hivi ni mwendo doggy style kwenye kaaba
Mkuu, me habari za Yesu na bikira maria uwa sizielewagi me ninachojua na kinachowachanganya watu wengi ni habari za shetani na MunguMaswali km haya usipojibu kwa namna hio anaeuliza maswali hawezi kuelewa kwa hio inabidi umpasulie mule mule kwanini yesu aliitwa mwana wa Mungu sababu Mungu alimtomba Maria full stop hakuna maelezo mengine una swali lingine uliza usiniambie habari za the holy ghost vitabu vya zamani Biblia za zamani walikua wanaandika hivyo hizi matoleo ya sasa wanasema the holy spirit kunogesha maneno ila maana yake ni ile ile Mungu
Unataka kusema nini kwamba Mungu alikua anajitazama kwenye kioo sio? Yaan anajitazama kisha anajiambia mwenyewe au unamaanisha nini? Ngoja nichambue mengine wewe Makebo usije hapaHapa unaona nini? Shetani anamuingia Yuda, na Yesu ambaye mnasema ni Mungu anamwambia Nenda kafanye fasta.
Ukiisoma biblia km unavyosoma Gazeti la The Citizen huwezi kuielewa kwanza kabla hujaanza kuisoma inabidi ujitakase na umuitee roho mtakatifu umuite Mungu aje akufunulie hayo maandiko ukisomasoma tu km unasoma Gazeti la udaku kuelewa ni ngumu sanaWachungaji wenu wamewalisha ujinga wa kwamba kitabu hiki kimejaa mafumbo ya kiroho yanayohitaji Roho Mtakatifu ili kuelewa, lakini ukweli ni kwamba waandishi wenyewe wameandika na kuchanganya mambo waziwazi.
Kwa hio Yuda na Yesu walikua kitu kimoja?Anabadilika kulingana na mazingira ya utendaji kazi wake
Lengo la kukifanya kitabu kiwe kigumu mpaka awepo roho mtakatifu ni nini?Ukiisoma biblia km unavyosoma Gazeti la The Citizen huwezi kuielewa kwanza kabla hujaanza kuisoma inabidi ujitakase na umuitee roho mtakatifu umuite Mungu aje akufunulie hayo maandiko ukisomasoma tu km unasoma Gazeti la udaku kuelewa ni ngumu sana
Kwa hio Yuda na Yesu walikua kitu kimoja?