Kwanini binadamu wasingekuwa wanataga mayai?

Mkikubaliane waanze kutaga,Msisahau Incubator!Halafu mawazo yamenipeleka mbali Yai la Huyu!!!!
 

Attachments

  • images (2).jpg
    9.9 KB · Views: 18
Kwa mtazamo Hapa unapoint. Lakini kulikuwa na ndege wakubwa kama Elephant birds au huyu mbuni. Mayai yao makubwa na magumu kama mawe. Kwangu naona yanaoffer protection nzuri kuliko mjamzito asiyeweza kujilinda wala kukimbia.

Je namna ya kuzaliwa inaathiri bond ya mama na mtoto?
 
😂😂😂😂JF haichahi, wikiendi imeanza kwa kasi sana
 
Yeeeh inaathiri,, release ya oxytocin hormone during pregnancy ni muhimu for any social bonding,,

Sio mtazamo hiyo ni explanation ya kisayansi
 
Mjamzito anauwezo wa kumove na huyo offspring,, ukilinganisha na mayai ambayo yako prone na environmental stress
 
Kwasababu Binadamu ni Mamalia. Ukitaka Atage ni sawa na Tembo nae Atage ushawaza Yai la Tembo litakuwaje na ataliatamiaje kulipa Joto mpaka litotoe?

Pia kumbuka, viumbe wanaotaga hawatagi Yai 1 ni Mayai. Sasa uwe unafikiria cha kuandika humu ndugu.
Jitoleo kumfundisha classification hasa kingdom animalia manaa jamaa atakua alikimbia hii topic
 
[emoji23][emoji23],aise jf balaa!! ila hii nadhani ingekuwa poa ,tusingesingiziwa na wake zetu mimba za kuchepuka,maana ukiona wife anakwambia anataka kutaga yai ,ukiona unamashaka na Hilo yai ,unaenda kulikanyaga wakati hayupo [emoji23],akirudi unasingizia wtt walilipasua bahati mbaya!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Mkuu unataka tuwe tunawapanda mademu chap kama jogoo
 
Kwahiyo Mkuu unataka tuwe tunawapanda mademu chap kama jogoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…