Kwanini binadamu wasingekuwa wanataga mayai?

Nasema inaonekana wanayama wote wanaozaa ni wenye joto. Ndege kutozaa inaingiaje?
Vyura wa kihansi wanazaa but hawana joto,,, aves wana joto na hawazai

What i am trynna say ni kwamba kila sytem ili evolve independently so just because an organism ni endotherm doesn't mean ni factor iliyofanya afanye advancement ya kuzaa,,

But still monotramata ni mamals na wanataga,, still ni mamals ambao ni advanced kuliko reptiles na birds

Generally just because ume advance in one system that doesn't mean you'll advance in other sytem,, evolution sio post facto
 
Incubation period ingekuwa mwezi au miezi tisa ? Chakula cha kwenye hilo yai kingetosha kutengeneza mnyama complicated kama binadamu hayo yote inabidi kuyaweka katika consideration..., by the way binadamu pia wanatoa mayai ingawa unaweza usiite ni kutaga bali kila mwezi ke anatoa atleast yai moja
 
Ndiyo maana nikasema inaonekana wanyama karibu wote wanaozaa ni wenye joto. Kunaexceptions za hapa na pale. Sijasema endotherms wote wanazaa, nafahamu ndege ni endotherms.

Na si kweli kuwa systems zinaevolve independently. Hizi system mara nyingi huwa zinaevolve kwa kutegemeana. Maana zinafanya kazi kama kitu kimoja ndani ya mwili. Mfumo wa damu na wa uzazi lazima ielewane.
 
Wanasema kuna pweza wanaatamia hata miaka 4. Na pweza nu kiumbe tata kwa kiwango chake.
 
Advancement ya sytem moja hudepend na advancement ya sytem ingine?? [emoji15][emoji15][emoji15]

Lecturer wako anaitwa nani?
 
Tumsaidie huyu anataka kutaga 🤣
 
Punguza kuwaza upuuzi, watoto wako utawarithisha ujinga
 
Yaani kabisa unachukua muda wako kuelimisha hii kenge? Huyo ni kumsoma na kumtukana kimoyomoyo tu
 
Kwani tunataga? Kiswahili hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…