Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Usipotuma matumizi unaletewa yai lakoWadada wangekuwa wanatuambia: "Njoo uchukue Yai lako, linanisumbua."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipotuma matumizi unaletewa yai lakoWadada wangekuwa wanatuambia: "Njoo uchukue Yai lako, linanisumbua."
Hutaki kutaga bibieEh![emoji23][emoji119]
🤣🤣🤣🤣🤣Kwasababu Binadamu ni Mamalia. Ukitaka Atage ni sawa na Tembo nae Atage ushawaza Yai la Tembo litakuwaje na ataliatamiaje kulipa Joto mpaka litotoe?
Pia kumbuka, viumbe wanaotaga hawatagi Yai 1 ni Mayai. Sasa uwe unafikiria cha kuandika humu ndugu.
GENTAMYCINE angekuwa anataga mayai viza ya Simba kulogea.
Atakuwa anataga amesimama, likifika chini limepasuka tayariTungekuwa wachache sana maana masista du wangevunja sana mayai kwa makusudi!.
Kwani we unahamu ya kutaga brooEti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa! Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Nafikiri kuijadili mada yako ni matuzi mabaya ya Akili Mungu aliyokupa Bure!Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa! Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Hapana, wewe?Kwani we unahamu ya kutaga broo
Kwanini unafikiri hivyo?Nafikiri kuijadili mada yako ni matuzi mabaya ya Akili Mungu aliyokupa Bure!
Duuu!!! Hatar saaana.aise jf balaa!! ila hii nadhani ingekuwa poa ,tusingesingiziwa na wake zake mimba za kuchepuka,maana ukiona wife anakwambia anataka kutaga yai ,ukiona unamashaka na Hilo yai ,unaenda kulikanyaga wakati hayupo,akirudi unasingizia wtt walilipasua bahati mbaya!!![]()
Haya mawazo yako huko sahihi kabisa. Unajua yale mambo ambayo watu wanayadharau ndio yameleta mapinduzi makubwa katika dunia. Mfano kwanii embe linadondoka chini na haliedi juu. Hapa watakupa majibu mengi kwasababu wamekaririsha mashuleni lakini hakuna mtu anayeweza fikiria nje ya box kwa kuja na nadharia zake binafsi ambazo hazina mafungamano na mwingine kuhusu hiliEti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa!
Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
hii mbona inajulikana na kuna mamalia mmoja anataga mayai Platypus - Wikipedia mcheki humu . kutaga mayai magumu ni mafanikio ya kievolution kabla ya hapo viumbe mayai walitaga majini mfano chura na samakiNaunga mkono. Inaonekana viumbe wa mwanzo walikuwa wataga mayai. Dinosours walikuwepo miaka 200m iliyopita na ni wataga mayai.
Tuna changamoto nyingi muhimu za kushirikishana kama vijana na KusaidianaKwanini unafikiri hivyo?