Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyura wa kihansi wanazaa but hawana joto,,, aves wana joto na hawazaiNasema inaonekana wanayama wote wanaozaa ni wenye joto. Ndege kutozaa inaingiaje?
Ndiyo maana nikasema inaonekana wanyama karibu wote wanaozaa ni wenye joto. Kunaexceptions za hapa na pale. Sijasema endotherms wote wanazaa, nafahamu ndege ni endotherms.Vyura wa kihansi wanazaa but hawana joto,,, aves wana joto na hawazai
What i am trynna say ni kwamba kila sytem ili evolve independently so just because an organism ni endotherm doesn't mean ni factor iliyofanya afanye advancement ya kuzaa,,
But still monotramata ni mamals na wanataga,, still ni mamals ambao ni advanced kuliko reptiles na birds
Generally just because ume advance in one system that doesn't mean you'll advance in other sytem,, evolution sio post facto
Wanasema kuna pweza wanaatamia hata miaka 4. Na pweza nu kiumbe tata kwa kiwango chake.Incubation period ingekuwa mwezi au miezi tisa ? Chakula cha kwenye hilo yai kingetosha kutengeneza mnyama complicated kama binadamu hayo yote inabidi kuyaweka katika consideration..., by the way binadamu pia wanatoa mayai ingawa unaweza usiite ni kutaga bali kila mwezi ke anatoa atleast yai moja
Advancement ya sytem moja hudepend na advancement ya sytem ingine?? [emoji15][emoji15][emoji15]Ndiyo maana nikasema inaonekana wanyama karibu wote wanaozaa ni wenye joto. Kunaexceptions za hapa na pale. Sijasema endotherms wote wanazaa, nafahamu ndege ni endotherms.
Na si kweli kuwa systems zinaevolve independently. Hizi system mara nyingi huwa zinaevolve kwa kutegemeana. Maana zinafanya kazi kama kitu kimoja ndani ya mwili. Mfumo wa damu na wa uzazi lazima ielewane.
Mfumo wa uzazi wa mwanadamu lazima uendane na mfumo wa damu. Vingenevyo mtoto hatadurvive.Advancement ya sytem moja hudepend na advancement ya sytem ingine?? [emoji15][emoji15][emoji15]
Lecturer wako anaitwa nani?
Tunataka jina la lecturer wako [emoji848]Mfumo wa uzazi wa mwanadamu lazima uendane na mfumo wa damu. Vingenevyo mtoto hatadurvive.
Tumsaidie huyu anataka kutaga 🤣Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa!
Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Labda kichwa cha HABARI ila sio familiaAisee
Kichwa Cha Familia hiki
Punguza kuwaza upuuzi, watoto wako utawarithisha ujingaEti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa!
Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Yaani kabisa unachukua muda wako kuelimisha hii kenge? Huyo ni kumsoma na kumtukana kimoyomoyo tuKutaga mayai ni evolutionary disadvantage,, sababu kwenye lineage ya evolution from fish to mammalian,, moja ya aim ilikuwa ni kuongeza survival rate ya offspring na kuacha kutegemea maji kwa ajili ya reproduction,,
That's why survival rate ya human akiwa tumboni ni kubwa kuliko chura anaetagia kwenye maji, au reptile na birds ambao they developed calcium shell (egg shell) kwa ajili ya protection of the egg
Hakuna mlevi mwenye mawazo hayaUpo bia ya ngapi?
Kinachojadiliwa kimekuzidi uwezo. Kaa kwa kutulia.Yaani kabisa unachukua muda wako kuelimisha hii kenge? Huyo ni kumsoma na kumtukana kimoyomoyo tu
Mnataka na nani? Jadili hoja zipo. Jina la lecturer wangu la nini?Tunataka jina la lecturer wako [emoji848]
Kwani tunataga? Kiswahili hiki?Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa!
Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Binaadam kutaga? Sio mzima weweKinachojadiliwa kimekuzidi uwezo. Kaa kwa kutulia.