Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Wewe unatumia Logic??Kwani hakuna watz wenye uwezo wa hizi nafasi mpaka sinia officer wa jeshi watake over hayo majukum
Logically wao wamekuwa trained kuenforce zaidi badala ya logic implementation
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndio natumia logic wwe jeWewe unatumia Logic??
Nani alikuambia....Kwani hakuna watz wenye uwezo wa hizi nafasi mpaka sinia officer wa jeshi watake over hayo majukum
Logically wao wamekuwa trained kuenforce zaidi badala ya logic implementation
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yule Mkuu wa Magereza huwa anavaa ndio kulingana na tukio, wkati anaenda kuvaa cheo kipya cha JWTZ alivaa gwanda za JWTZ ndio kvs. lkn pia akiwa ktk shughuli zake huko Magereza havai kwa kuwa Magereza kuna uniform, ila TAKUKURU hamna uniform hivyo Brigedia akivaa gwanda zake za Jeshi n sahihi tu. na Hao wengine uliowataja kutokuvaa kwao hakuhalalishi kuwa wengine wasivaeYule Kamishna General wa Megereza hivi hiwa anavaa nguo za JW?
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye hivi huwa anavaa sare za Polisi?
Mkurugenzi wa Usalama wa taifa hivi bado anavaa sare za Polisi?
Achague moja basiLini aliacha kuwa mwanajeshi?
Hujanielewa mkuu kusomea uongozi na kuimplement ni vitu viwili tofautiNani alikuambia....
Jeshini wanasoma uongozi tena hutoa viongozi wazuri sana.
Wametuletea Kikwete,kinana
Hayo magwanda wakavae huko jeshini na sio kwa ofisi za umma wao waliteuliwa kuwa wajeda Basi wafanye yanayo wahusu wasiingilie shughuli za raia, tunahitaji taasisi imara na sio individual people wanaovaa magwanda, pia nchi yetu haiongozwi na jeshi Una utawala halali wa kiraiaYule Mkuu wa Magereza huwa anavaa ndio kulingana na tukio, wkati anaenda kuvaa cheo kipya cha JWTZ alivaa gwanda za JWTZ ndio kvs. lkn pia akiwa ktk shughuli zake huko Magereza havai kwa kuwa Magereza kuna uniform, ila TAKUKURU hamna uniform hivyo Brigedia akivaa gwanda zake za Jeshi n sahihi tu. na Hao wengine uliowataja kutokuvaa kwao hakuhalalishi kuwa wengine wasivae
kwani, kuna sehemu katika Katiba inakataza Mwanajeshi kuwa Boss wa T
View attachment 1739305
Brigedia John Mbungo, Mkurugenzi Takukuru.
Teuzi za wanajeshi zilishamirishwa na hulka ya Mtawala aliyepita , Hayati John P. Magufuli ambaye aliamini katika matumizi ya vitisho, nguvu na mabavu katika uendeshaji wa shughuli za Serikali.
Je bado CCM na Mh. Samia Suluhu Hassan wanaona fahari kwa Viongozi wa kiserikali kuendelea kuvaa kombati katika shughuli za kiraia ?
Wewe unatumia Logic??
Nilishangazwa na Kuchukizwa MWANAJESHI JWTZ kuteuliwa kuwa Mkuu wa MagerezaView attachment 1739305
Brigedia John Mbungo, Mkurugenzi Takukuru.
Teuzi za wanajeshi zilishamirishwa na hulka ya Mtawala aliyepita , Hayati John P. Magufuli ambaye aliamini katika matumizi ya vitisho, nguvu na mabavu katika uendeshaji wa shughuli za Serikali.
Je bado CCM na Mh. Samia Suluhu Hassan wanaona fahari kwa Viongozi wa kiserikali kuendelea kuvaa kombati katika shughuli za kiraia ?
Mbona magwanda yenu makamanda mnayavaa Hadi kwenye misiba na hujawahi kumhoji Mbowe?View attachment 1739305
Brigedia John Mbungo, Mkurugenzi Takukuru.
Teuzi za wanajeshi zilishamirishwa na hulka ya Mtawala aliyepita , Hayati John P. Magufuli ambaye aliamini katika matumizi ya vitisho, nguvu na mabavu katika uendeshaji wa shughuli za Serikali.
Je bado CCM na Mh. Samia Suluhu Hassan wanaona fahari kwa Viongozi wa kiserikali kuendelea kuvaa kombati katika shughuli za kiraia ?
Umesahau hapo na RC wa Kagera Brigadia Gaguti .Labda huwafuatilii,ila wanavaa sana tu. Diwani ndiye huwa havai.ila hao wengine huwa wanavaa.Huyo wa magereza huwa anavaa zote,kuna siku avaa za magereza na kuna siku anavaa bakabakaYule Kamishna General wa Megereza hivi hiwa anavaa nguo za JW?
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye hivi huwa anavaa sare za Polisi?
Mkurugenzi wa Usalama wa taifa hivi bado anavaa sare za Polisi?
Mh. alijibu iwe rahisi anapotaka kumkamata mwanajeshi anayekabiliwa na tuhuma za rushwa kwanza anapiga saluti halafu anakamatwa. Simple.Je kulikuwa na sababu gani kuanza kuwatumia wanajeshi katika kazi za kiraia ? Kwamba Jeshi ndio lina uzalendo ? Au wasio wanajeshi sio Wazalendo ? Nahitaji kufahamu tija hasa ni ipi ?
Katiba ya wana saccos labda in hicho kipengele ndo maana wanahoji.kwani, kuna sehemu katika Katiba inakataza Mwanajeshi kuwa Boss wa TAKUKURU?
Na afisa wa magereza alivoteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Zimamoto vp walilalamika napo?.Nilishangazwa na Kuchukizwa MWANAJESHI JWTZ kuteuliwa kuwa Mkuu wa Magereza
Hii ni dharau kubwa sana kwa jeshi la Magereza na walilalamika ila Jiwe alifunga masikio