Kwanini Bosi wa TAKUKURU anavaa sare za Jeshi? Nini taswira ya Utawala wa Kiraia?

Kwanini Bosi wa TAKUKURU anavaa sare za Jeshi? Nini taswira ya Utawala wa Kiraia?

Umeishia darasa la ngapi ndg?
Hii ndo lugha ya kitanzania ungekuwa kwingineko tungekuuliza una elimu ya kiwango kipi?
Wee ndo tukuulize umeishia darasa la ngapi kule memkwa, jamaa kaeleza vizuri Sana Sasa wewe kichwani huelewi unahoji kinyumbunyumbu.
 
Je kulikuwa na sababu gani kuanza kuwatumia wanajeshi katika kazi za kiraia ? Kwamba Jeshi ndio lina uzalendo ? Au wasio wanajeshi sio Wazalendo ? Nahitaji kufahamu tija hasa ni ipi ?
Unauliza uzalendo wa raia wa kawaida na mjeshi!!??

Mpaka hapa umejianika kuwa wewe ni puyuyu!
 
Wee ndo tukuulize umeishia darasa la ngapi kule memkwa, jamaa kaeleza vizuri Sana Sasa wewe kichwani huelewi unahoji kinyumbunyumbu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Huko memkwa kulikuwa huru wakati magu anatawala?
Utawala wa magu mihimili yote taasisi zote na raia wote waliwekwa utumwani kwa kitisho cha bunduki.
 
Nani alikuambia....
Jeshini wanasoma uongozi tena hutoa viongozi wazuri sana.
Wametuletea Kikwete,kinana
Huyo Kikwete, pamoja na kuwa alikuwa Amiri jeshi, ulishawahi kumuona amevaa hayo magwanda? Kinana naye ulishaona kuvaa hayo mavazi? Hapa hoja sio kwa nini hizo nafasi, pamoja na za wakuu wawilaya na mikoa wanapewa Wanajeshi, hoja vipi waendelee kuvaa hayo mavazi wakiwa wapo kwenye utumishi usio wa kijeshi?
 
Umesoma vizuri swali aliloniuliza?
 
Je kulikuwa na sababu gani kuanza kuwatumia wanajeshi katika kazi za kiraia ? Kwamba Jeshi ndio lina uzalendo ? Au wasio wanajeshi sio Wazalendo ? Nahitaji kufahamu tija hasa ni ipi ?
Dr ni wewe kweli? au Witch Dr
huko Lugalo, Mzena, Ihumwa, na kambi kibao hawawahudumii wananchi
kwanini usifute huu uzi maana inaonesha hujapitia Mgambo au JKT na ukaupata uDr moja ya kazi umeshasema ni Kutoa Huduma km hizo za TAKUKURU
Brigedia John Mbungo, Mkurugenzi Takukuru.
Fahamu wajibu wa kikatiba wa Jeshi
  • amlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa
  • Kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
  • Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji mali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
  • Kushiriki ulinzi wa amani kimataifa
mpaka uwaone mtaani wakiuza nyanya au viunguu ndipo ujue wanatuhudumia?
 
Nilishangazwa na Kuchukizwa MWANAJESHI JWTZ kuteuliwa kuwa Mkuu wa Magereza

Hii ni dharau kubwa sana kwa jeshi la Magereza na walilalamika ila Jiwe alifunga masikio
Ila Afisa wa Magereza alivyoteuliwa kwenda kuwa Boss wa Jeshi la Zimamoto Magereza hakudharauliwa sio na hukuchukia sio?
 
Ila Afisa wa Magereza alivyoteuliwa kwenda kuwa Boss wa Jeshi la Zimamoto Magereza hakudharauliwa sio na hukuchukia sio?
Magereza wakeluwa under ratted sana chini ya Jiwe hawajawahi toa hata DC
 
Wajibu wa JWTZ​

  • Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Kufanya mafunzo na mazoezi ili kujiweka tayari kivita wakati wote.
  • Kufundisha umma shughuli za ulinzi wa Taifa.
  • Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa
  • Kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
  • Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji mali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
  • Kushiriki ulinzi wa amani kimataifa.
Hiyo ya kushiriki ulinzi wa amani iliwekwa kama pambio tu.Ulinzi wa amani kimataifa vinashiriki vyombo vyote vya dola: jwtz,polisi na usalama ambao uenda wakiwa katika 'koti' la raia wa kawaida.
 
Nchi ilikuwa inaenda kuwa ya kijeshi kabisa badala ya kutumia akili mwendazake alikuwa anatumia nguvu sana.
Kizazi cha miaka ya 2000,mtaona ni vitu vipya ila wakongwe sio mambo mapya tokea enzi za baba wa Taifa.

Ila kwa vile unachuki za kipuuzi na hayati basi kila kitu unaona yeye ndio aliyeanzisha.
 
Uteuzi wa kiongozi yeyote huwa ni huruka ya kila kiongozi aliyeko madarakani, anaweza kuteua mtu yeyote kutoka idara yeyote ya utumishi wa uma au vyombo vya dola.
Kwahiyo mtawala aliyepita aliamini huyo ndiye anayemfaa kutumikia hiyo idara.
 
Kizazi cha miaka ya 2000,mtaona ni vitu vipya ila wakongwe sio mambo mapya tokea enzi za baba wa Taifa.

Ila kwa vile unachuki za kipuuzi na hayati basi kila kitu unaona yeye ndio aliyeanzisha.
Mpuuzi wewe kwahiyo unaweza kumteua police akaenda kuwa kamishina wa mapato?
 
Mpuuzi wewe kwahiyo unaweza kumteua police

Mpuuzi wewe kwahiyo unaweza kumteua police akaenda kuwa kamishina wa mapato?
Siwezi ku urge na wapuuzi ila nakushauri fuatilia kuanzia awamu ya kwanza hadi ya tano kama kulikuwa hamna wanajeshi kwenye serikali.

Sio jambo geni na hayati sio mtu wa kwanza kuwapa wanajeshi vyeo serikalini.
 
Nenda wewe ukawe mkuu wa brigedi tuone
 
Back
Top Bottom